Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
Si alishindwa kupanda ngazi pale studio
Na pia Clouds walikataa asiingie kwenye kipindi na mfuta udenda wake.Si alishindwa kupanda ngazi pale studio
Dogo ulikuwa unampinga sana Lowassa ghafla umekuwa dodoki...njaa mbaya sanaWazee wa kukurupuka kila siku mkutano wa arusha nao umearishwa .sasa walitangaza wa nini?