Lowassa akwepa tena mahojiano ya Live na Clouds FM

Lowassa akwepa tena mahojiano ya Live na Clouds FM

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Peter Serukamba ndiye Campaign Manager wa Lowassa?

Akihojiwa katika kipindi cha Breakfast cha Clouds FM asubuhi ya leo kuhusu mgombea mtarajiwa wa urais 2015 Mh. Edward Lowassa kuongea na wananchi kupitia radio hiyo, Mh. Peter Sserukamba kasema bwana EL hataweza kuongea na wananchi leo.

Hii ni Inshara kwamba Mh. Peter ni team EL na anaonekana ndiye msemaji au Campaign manager wa bwana EL.

Juzi huyu Mh. Peter alitokwa na povu jingi sana pale bungeni akitaka wasafishwe wote wenye Scandal ya Escrow, kumbe lengo lake lilikuwa limejificha!

Kabla ya Bunge kuisha tutakuwa tumewafahamu wote walio nyuma ya pazia ya haya makundi ya Urais.
 
Kwani kosa liko wapi?
Au ulitarajia Lowassa asiwe na kampeni manager?
CCM wamelikoroga wenyewe na kulinywa watalinywa wenyewe.Huwezi safisha baadhi ya mafisadi na kuacha wengine!
 
Kwa mujibu wa Peter Serukamba aliyejitambulisha kama msemaji wa Lowassa, amesema Lowassa yupo njiani kuelekea Arusha kwenye haraambee ya kuchangia ujenzi wa mskiti arumeru. Hivyo amewataka wenye maswali wayaweke kwenye account yake ya Twitter na atayajibu wiki ijayo kwenye kipindi cha PB cha clouds fm.. Lkn mh. Lowassa nimemwona Bungeni asubuhi hii akinong'ona na mbunge mwenzake.
 
Wazee wa kukurupuka kila siku mkutano wa arusha nao umearishwa .sasa walitangaza wa nini?
 
Kwani kosa liko wapi?
Au ulitarajia Lowassa asiwe na kampeni manager?

CCM wamelikoroga wenyewe na kulinywa watalinywa wenyewe.Huwezi safisha baadhi ya mafisadi na kuacha wengine!
Kosa liko pale alipojitambulisha kama mbunge wa Kigoma mjini na kuanza kuongelea maswala ya lowasa na clouds fm. Angejitambulisha kama campaign manager wa lowasa pasingekuwa na tatizo.

Kumtangaza lowasa si moja ya majukumu aliyotumwa na wapigakura wa Kigoma mjini.
 
Akihojiwa katika kipindi cha Breakfast cha Clouds FM asubuhi ya leo kuhusu mgombea mtarajiwa wa urais 2015 Mh. Edward Lowassa kuongea na wananchi kupitia radio hiyo, Mh. Peter Sserukamba kasema bwana EL hataweza kuongea na wananchi leo. Hii ni Inshara kwamba Mh. peter ni team EL na anaonekana ndiye msemaji na campaign manager wa bwana EL.

Juzi huyu Mh. Peter alitokwa na povu jingi sana pale bungeni akitaka wasafishwe wote wenye scandal ya escrow, kumbe lengo lake lilikuwa limejificha!

Kabla ya bunge kuisha tutakuwa tumewafahamu wote walio nyuma ya pazia ya haya makundi ya Urais.
acha ushamba wagombea wa kisasa lazma wawe na meneja ndio maana ata obama alkua na campaign manager kama membe anavyomtumia riz kama meneja wake wa kampen na nyie wafuasi wake mnashnda jf kumchafua lowasa badala ya kufanya kazi lowasa atawapa presha mwaka huu...lowasa ndiye rais wetu ebu tueleze kwanini team membe mnaogopa kupambana na lowasa uwanjan zaid mnatumia fitina ili kukata jina wakati membe anagawa ela mikoan daily na zanzbar....Jk ataki adui atawaacha kwenye mataa hamtaamin rizwan hana ubia na ikulu membe asiwadanganye naskia kila kikao anasema rais ameniambia mara rais amenihakkshia mm ndye mteule wake aache kumsngzia Jk na Kumchafua
 
Peter Serukamba ndiye Campaign Manager wa Lowassa? Akihojiwa katika kipindi cha Breakfast cha Clouds FM asubuhi ya leo kuhusu mgombea mtarajiwa wa urais 2015 Mh. Edward Lowassa kuongea na wananchi kupitia radio hiyo, Mh. Peter Sserukamba kasema bwana EL hataweza kuongea na wananchi leo. Hii ni Inshara kwamba Mh. peter ni team EL na anaonekana ndiye msemaji na campaign manager wa bwana EL.

Juzi huyu Mh. Peter alitokwa na povu jingi sana pale bungeni akitaka wasafishwe wote wenye scandal ya escrow, kumbe lengo lake lilikuwa limejificha!

Kabla ya bunge kuisha tutakuwa tumewafahamu wote walio nyuma ya pazia ya haya makundi ya Urais.
Hatareeee! Huyu EL anakupwelepweta bure, wala si size yako! Nenda kalicheze Segereee, segere mama! Thread kibao, Lowasa, Lowasa, mwacheni jamani! !
 
Hii post nilitegemea ni ya kuelezea kwa nini Lowassa kakacha mahojiano badala yake naona inahoji kazi ya Serukamba kwenye campaign ya Lowassa. :confused2:
 
Kosa liko pale alipojitambulisha kama mbunge wa Kigoma mjini na kuanza kuongelea maswala ya lowasa na clouds fm. Angejitambulisha kama campaign manager wa lowasa pasingekuwa na tatizo.

Kumtangaza lowasa si moja ya majukumu aliyotumwa na wapigakura wa Kigoma mjini.

Sikupatia kujua kama na wewe ni boya kiasi hiki, kwahiyo Lowasa ndio alichaguliwa na Wana Moduli ili amuwakilishe makamu wa Rais kwenye harambee za misikiti? Chuki bila sababu.
 
Kwa mujibu wa Peter Serukamba aliyejitambulisha kama msemaji wa Lowassa, amesema Lowassa yupo njiani kuelekea Arusha kwenye haraambee ya kuchangia ujenzi wa mskiti arumeru. Hivyo amewataka wenye maswali wayaweke kwenye account yake ya Twitter na atayajibu wiki ijayo kwenye kipindi cha PB cha clouds fm.. Lkn mh. Lowassa nimemwona Bungeni asubuhi hii akinong'ona na mbunge mwenzake.

Aliomba maswali yatumwe kwa email....lowasa2015@gmail.com. ..kama nilisikia vizuri
 
ulisha msikia huyu bwana David Plouffe kwa siasa za marekani sio kama kinana kampeni manager wa kikwete kazi yake sawa sio sawa?
 
Makamu wa rais amemuomba ndug El akamuwakilishe katika harambee maana yeye kuna majukumu yamembana,sasa tatizo nn hapo nyie haterz?
 
Clouds FM wanamtengenezea zengwe Lowassa, ili aonekane anazidi kufanya kampeni, ameshtukia
 
Sikupatia kujua kama na wewe ni boya kiasi hiki, kwahiyo Lowasa ndio alichaguliwa na Wana Moduli ili amuwakilishe makamu wa Rais kwenye harambee za misikiti? Chuki bila sababu.
Nasimamia nilichoandika. Ni kosa kwa serukamba kujitambulisha kama mbunge wa Kigoma mjini kufanya kazi za press secretary wa lowasa. Hakuchaguliwa ubunge kufanya kazi hizo, angejitambulisha kama mmoja wa team lowasa wala tusingetia neno.

Nashangaa sana kwa nini ulichelewa kujua kama mimi boya, at least kwa ubongo wako kizibo.
 
Back
Top Bottom