Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

Hiyo mikutamo kwa sasa inayohusu mikakati ya maendeleo ndo inayotakiwa kwa sasa na si ile ya maandamano
 
Chadema imepata vichwa, magufuli asichukulie kirahisi atamaliza miaka 5 huku 90% ya muda wake ametumia kupambana na bavicha.
 
Safi Sana mh. Lowasa
Lazima tuwaonyeshe tofauti kati ya kutawala na kuongoza

Ukawa kuna viongozi wa kupigiwa mfano
Udikteta sio jadi ya chadema
 
HOnestly CHADEMA wapo makini kuliko CCM by far far ....so creative and visionary...
 
Natamani rais wangu magufuli angejaaliwa hekma kama mzee Lowassa. Aghrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Unasema mh.Lowassa ni mgonjwa..nikuulize swali..Je wewe ni mzima? Usiseme mwenzako mgonjwa wakati wewe mwenyewe ikitokea unafanyiwa check up utakuwa na mgonjwa mia kidogo....changa mdomo wako acha ujinga.
 
Atawafunda sana, na bado ila kwa JPM hakuna kutoka
 
Unasema mh.Lowassa ni mgonjwa..nikuulize swali..Je wewe ni mzima? Usiseme mwenzako mgonjwa wakati wewe mwenyewe ikitokea unafanyiwa check up utakuwa na mgonjwa mia kidogo....changa mdomo wako acha ujinga.
Edo mgonjwa tukubali tukatae.
 
mkuu ungeuliza tu ungekuwa bora sana sasa kuanza kutukanana si uungwana, utapata burn buree uanze kulalamika, soma maelezo yangu vzr mkuu hakuna nlipotukana au kama kiswahili si rafiki ungesema nikakuandikia kwa lugha yako...
Matusi ndiyo zao. Wamekumbatia FISADI watakuwa na hoja?
 
Safi Sana mh. Lowasa
Lazima tuwaonyeshe tofauti kati ya kutawala na kuongoza

Ukawa kuna viongozi wa kupigiwa mfano
Udikteta sio jadi ya chadema
Kwani mwenyekiti wenu mbowe anamda gani amekalia hicho kiti toka 2004.....Hivi kuna udictator zaidi ya huo......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Haya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia
Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…