kwa kuwa mada yako umeelekeza kwa wasiompenda, binafsi namkubali ile mbaya, wasimkubali nawashauri wampinge kwa hoja, hata nyerere alishtakiwa na wakoloni, mwisho akawa rais wa tz, mandela alifungwa jela mwisho akawa rais wa south africa, zuma alikuwa na kashfa kibao mpaka leo ni rais wa south africa .mpaka leo najiuliza kwanini ile tume ya richmond kwanini haikumuhoji? binafsi naamini shida zote tunazopata watanzania leo hii ni kutokana na ile tume .
Habari wakuu,
kutokana na upeo wangu wa kisiasa niliokuwa nayo, kama ccm watampitisha Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha uraisi,
Yafutayo yatatokea kwa upande wa chadema.
1. Itakuwa Raisi sana kwa chadema kushinda nafasi ya uraisi ,bcoz Shutuma zinazomkabili Lowasa ,ziko wazi kwa karibu watanzania wote hadi vijijin. kashifa hizi nzote zimewafikia wananchi karibu Tanzania nzima.
2. Chadema itakuwa juu bcoz Vyombo vya habari vimesaidia kuwaeleza watanzania ukweli juu ya ufisadi hasa wa Richmond.wananchi wengi watajua kwamba option yao ni Chadema.
3.M4C ya chadema nayo imesaidia mpaka Lowasa kila atakapopita na kuonekana ni Fisadi mkuu.So chadema bado itakuwa juu.
4. Chama cha mapinduzi (CCM) nacho kimesaidia kumchafua Lowasa kupitia ,suala zima la KUJIVUA GAMBA hasa wakimlenga Lowasa kuwa yeye ndiyo Gamba. Mkuu Nape akiwa ndio kiongozi mratibu wa suala hilo.
5. Makundi ya CCM ,na Visasi visivyoisha juu ya wanachama na makada wa CCM. Hasa makundi ya akina Lowasa,Membe na Sita pamoja na mwakyembe. vitasaidia kuupa ushindi Chadema.
5. wananchi wa sasa wana uwelewa mkubwa sana ukilinganisha na miaka ya nyuma, jinsi inchi inavyoendeshwa na wamechoka na ufisadi wanataka mkombozi, ambabo chadema ndiyo inaonekana ndiyo Solution ya mwisho.
6.Shutuma za rushwa zinazoendeshwa kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM ,nazo zitasidia kumwangusha Lowasa kwa sababu wananchi wanajua kwamba Lowasa ndiye anaratibu mambo yote ya Rushwa kwenye chaguzi za ndani za ccm.
Huu ni muono wangu ndugu zangu,nawakilisha.
ndiyomkuusana@yahoo.com
I will congratulate him and see how he deliver I believe the guy is going to very good.
Akiwa rais bora nikaishi mogadishu.
kiongozi mwenye Nia Safi na dhati hawezi kutumia nguvu kubwa kama jamaa kutaka kuingia Ikulu, Endapo Lowasa akiwa rais basi tutegemee kuona nchi ikiongozwa kwa visasi zaidi, Ikulu ikihalalishwa kuwa Machinga Complex, Rushwa ikihalalishwa, Ndugu zangu kwangu mm binafsi sioni nia njema ya huyu jamaa kwa waTz
Kumekuwa na dhana ya kumpinga huyu kwa kila afanyacho na hii yote ni kutokana kashfa zinazo mtafuna hasa Richmond ambayo ili mpelekea akajiudhuru u PM.
Tuwe wawazi wana JF WOTE HUMU JUKWAANI MTACHUKUA hatua gani endapo CCM itampitisha Mh.Edward Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha Urais 2015 Akashinda na kuwa Rais?
Nyie Wote ambao hamko upande wake na wala hamtamani nchi hii kuwa Mikononi mwa EL mtachukua maamuzi gani?
1] Je mtaunda vikundi vya kupingana na utawala wake?
2] Mtamsaidia kwa ushauri kulisukuma taifa hili mbele kimaendeleo?
Fungukeni tujue isije ikatokea kuwa na vikundi vingi vya UAMSHO,vitakavyokuwa na mlengo wa kushoto.
Mods naomba msiitoe hii thread lengo ni kupenda kufahamu na kuelewa kama El,atakuwa Rais atakutana na changamoto.