amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Amefanya mikutano 6 Leo na kwenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo. Lowassa anakimbiza mwizi kimyakimya bila gita bila msanii, nyomi kama kawaida yake tushaizoea. Jumamosi Arusha itatetemeka jembe linatua.
Halafu kinachonifurahisha kwa sasa Mh. Lowassa anaonekana mwenye afya njema na maCCM hayana tena cha kuzungumza na push up yamepunguza baada ya kuona hazilipi tena.