St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Kampuni ngapi zishatia saini ya viwanda?? Haya mambo ya Chadema yatakushinda kama yalivyomshinda JK.CHADEMA wamevurugwa. Kuna CHADEMA asili na CHADEMA Maslahi. Soin ukweli utabainika
Kampuni ngapi zishatia saini ya viwanda?? Haya mambo ya Chadema yatakushinda kama yalivyomshinda JK.CHADEMA wamevurugwa. Kuna CHADEMA asili na CHADEMA Maslahi. Soin ukweli utabainika
Bule=bureHili lako nalo litapita tu lakini CHADEMA itabaki. Poteza muda wako bule.
Unazeeka vibaya,Huu ujinga wa kufikiri sijui kawalisha nani hadi mmevimbiwa na upumbavu wa namna hii unaowafanya mpige mbwewe na kutoa harufu mbaya ya uzandiki inayokera kwenye fikra za wenye kufikiri sawasawa.Lowassa aliingia CHADEMA kwa maslahi yake mwenyewe kama wanasiasa wengine wanaojiunga na vyama vya siasa kwa maslahi yao wenyewe. Lakini taratibu za kuendesha chama huwa wazi kwa wale wanaojiunga na vyama hivyo. Tatizo si Lowassa bali tatizo ni CCM kuona Lowassa anaingozea CHADEMA nguvu kwa chama walichosema kuwa kitakufa kabla ya mwaka 2013...
Kampuni gani? inahitaji wewe uanzishe si wengine. Usiwe wa kutaka uanzishiwe. Tanzania sisi tutabaki wa vibarua tu.Kampuni ngapi zishatia saini ya viwanda?? Haya mambo ya Chadema yatakushinda kama yalivyomshinda JK.
Hivi kweli upo comfortable kufanya kazi na Lowassa?Bora ubadili hiyo ID haikufai maana mwenye jina hilo /sifa hizo hafanani na mpenda uzushi kama unavyofanya hapa
Ofisi ya Katibu Mkuu ndio huratibu ziara zote.
unajua kamanda utani tuweke pembeni watu wako very much concerned wanazungumzia mustakabali wa upinzani au chadema. hivi hustuki? ? au wewe ni mamluki. ndio maana tulishauri Dr Slaa aombwe radhi na arudishwe. chama kijijenhe upya na kijivue magambaaKwa taarifa yako ziara hiyo imeratibiwa na Katibu mkuu mwenyewe kama mtendaji mkuu kwa hiyo suala la nani awe na nani na maeneo gani ni utaratibu wa chama.
Usikonde ndio kazi imeanza, nyie mngejikita kutafuta sukari maana watu wamechoka kuwapa watoto wao miwa wale na viazi.
Hapa ofisini kwangu watumishi baada ya mama aliyekuwa na tenda ya kuleta chai kusitisha wameniomba wale mikate na konyagi nami nimekataa wasiniletee mambo ya Kitwanga. Ni shidaaaa!
Timizeni wajibu wenu ya Chadema hamuyawezi
we dogo acha kujitoa ufahamu. watu wanaongea na data na za ukweli. usibishe tu kishabiki bila kujielewa. wewe mbona ulitaka kuhamia ACT ukanyuti. watu wana dataBora ubadili hiyo ID haikufai maana mwenye jina hilo /sifa hizo hafanani na mpenda uzushi kama unavyofanya hapa
Ofisi ya Katibu Mkuu ndio huratibu ziara zote.
unajua kamanda utani tuweke pembeni watu wako very much concerned wanazungumzia mustakabali wa upinzani au chadema. hivi hustuki? ? au wewe ni mamluki. ndio maana tulishauri Dr Slaa aombwe radhi na arudishwe. chama kijijenhe upya na kijivue magambaa
Faiza nimetokea kukupenda sana. inabidi tukae tuongee. hakuna lisilo wezekana.= bure
Richmond ni ya KikweteHawana ujanja inabidi wakubali matokeo.
Kila nikimfikiria mtu kama Baregu, Mabere Marando, Ben Saanane uwa najiuliza awa watu wamewezaje kuwa comfortable kufanya kazi chini ya Lowassa? Nabaki kukubali wanasiasa wote baba yao mmoja ni watu wa maslahi binafsi ya matumbo yao. Ni mara elfu tuendelee kuongozwa ni hili zimwi litujualo lililomkabidhi chama mwanamapinduzi Magu.
Madalali wa siasa walineemeka kupitia mgongo wake, walichukua dola million 2 toka kwa Membe zikiwa ni pesa marehemu Gadafi wakaenda kumnunua toka ukawa na kumtoroshea Canada ambapo membe kamnunulia kajumba kadogo anaishi huko, Dr slaa njaa na kurubuniwa na akina nape, January na Mwakyembe ndiko kulimshusha hadhi yake.Dr Slaa ni historia, alikuwa kiongozi mzuri lakini ameonyesha madhaifu makubwa sana katika wakati aliopaswa kuonyesha ujasiri wake. Kamanda wa vita mzuri ni yule anayepigana mpaka tone la mwisho la damu sio anayebwaga silaha na kukimbia kwenda kusemea mbali. Binafsi kaniangusha sina hata hamu naye tena.
Si kweli huo Uchonganishi wa ccm safari hii utadunda sana kwani ccm kwenyewe mkuu kapanga kumweka kitwanga kuwa katibu mkuu anataka Kinana arejeshwe kwao SomaliaCHADEMA wamevurugwa. Kuna CHADEMA asili na CHADEMA Maslahi. Soin ukweli utabainika
Slaa alihama lini? alihamia chama gani? Tambua kuwa Slaa hakuhama bali alirubuniwa na Akina 'Mwakyembe, Nape , January na Mtoa pesa Yaani Membe, Huyo babu Slaa alinunuliwa kwa dola million 2 pesa za marehemu gadafi ambazo zipo kwenye handaki nyumbani kwa Membe, hivyo hicho kizee kiliondoka chadema vibaya si kijitu kizuri kabsa.Babu slaa alishahama na chama chake kwa sasa kimebaki kivuli cha Chadema tu!
Lowasa ana uchungu sana na Kikwete na baadhi ya wana ccm hawezi kurudi nyuma isitoshe Lowasa hana njaa, kilichomrejesha nyuma mzee mwapachu ni njaa tu .Lazima Lowassa akumbatiwe sana. Kuna mambo mengi yamejificha kwake. Leo hii tu akiamua ku-Mwapachu ujue kama si Mbowe basi ni CHADEMA itakuwa imefika mwisho.
hakuna Dili la kununua chama hizo propaganda zilitengenezwa na January Nape na Membe mkalishwa mkakariri pasipo kuchanganya cha kuambiwa na Akili zenu, wajanja wote wanajua kuwa hiyo story ulitengenezwa ili kuwadhoofisha ukawa ma Lowasa kwa ujumla.Muulize Lowassa nani alimning'iniza? Sumu ya JK ilimkimbiza. Akapata pumzi bada ya kufika CHADEMA baada ya dili lake la kununua chama.
Sasa si wakati wa siasa,kama wanajenga chama waachwe wajenge chama chao na tunaofanya kazi tuachwe tufanye kazi tisubir wakati wa porojo ukifika 2020Kwa sasa ni wazi kuwa CHADEMA kuna jambo kubwa zaidi ya tunavyoona:
i) Jana Mkuu wa Chama cha CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais kupitia kundi la UKAWA, E. Lowassa alionekana akiandamana na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Znz, Salum Mwalim, katika ziara katika Jimbo la Monduli. Hili si jambo la kupuzwa kisiasa.
ii) Taarifa zilizopo ni kuwa Salum Mwalim ndo alikuwa chaguo la mkuu wa CHAMA kuwa Katibu Mkuu wa chama badala ya huyu aliyewekwa na Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe. Nafasi ya Salum Mwalim kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ili kuwa wazi hasa ukiangalia uzoefu na ukakamavu ambao aliuonyesha kipindi alipokaimu nafasi hiyo baada ya Dr. Slaa kujiengua na chama kwa sababu ya kumsimamisha Lowassa agombea nafasi ya urais na kuanza kumsafisha na kashfa zilizokuwa zinamwandama.
iii) Kitendo cha Lowassa kuanza kufanya kazi na Mwalim ambaye ni katibu mkuu ZNZ kumetafsiriwa kwa namna nyingine na wananzuoni wa siasa. Wapo wanaosema kweli Mbowe aliuza chama kwa Lowassa na kinyume na Katiba ya chama. Wengine wanasema ndani ya Chadema mambo yamekuwa magumu hivyo kila mtu anataka aonyeshee kuwa aliyemtaka ndo anaweza. Wengine wanasema haya ni maandalizi ya Lowassa kuongoza chama kikatiba katika uchaguzi wa ndani ujao. Haya tuache maana ni maono ya watu tu.
iv) Majuzi imeripotiwa kuwa kuna mgogoro mkubwa umekikumba chama hiki pendwa kwa sababu ya Mwenyekiti amefanya kififie haraka katika anga za siasa za sasa. Imejulikana kuwa wajumbe wa mkutano uliofanyika hivi karibuni, walitoa shutuma kali dhidi yake juu ya kushindwa kuongoza chama katika utawala huu wa rais Magufuli, ingawa haikuonyesha wazi nini ilikuwa chanzo. Nyuma pazia inaonyesha wengi wamechoshwa na maamuzi ya Mbowe yasiyoshirikishi pamoja na shinikizo lake la kumkaribisha Lowassa agombee urais bila kupima mbele nini kitatokea.
Kama haya yapo yanatoa taswira mbaya ya chama mbele ya ummaa wa Watanzania na nafasi ya chama katika siasa za usoni. Na ni dhahiri kuwa kwa sasa msadaa wa kifedha wa Lowassa ndani ya chama umepungua, hasa kumtambulisha Katibu Mkuu, wengi wanajiuliza juu ya ukimya wake.
Maana katika mkutano uliofanyika mkoani Mwanza baada ya kuteuliwa na chama ilikuwa kuzunguka nchi zima kumnadi na kuanza kufufua chama upya.