Lowassa aiteka CC na NEC...

Narudia tena kusema,mwamba wenye madini ndio uchorokwao.el daima
 
Mkuu,hao jamaa siku zote wanaangalia maslahi ya chama chao cha Magamba na si Wananchi
 
Kama ni kweli EL aliwasave wakati wa RICHMOND,basi ni kweli hawawezi kumwondoa,na kwasababu ana ambition za kuwa Rais,upinzani unachekekelea tu...

Ni kweli mkuu, kwenye Richmond Kikwete anahusika, EL aliwajibika ili kumnusuru rafiki yake na serikali yake wasiaibike. Kwa hiyo ni ngumu sana kwa Kikwete kumtelekeza rafiki yake, hasa kwa kigezo cha Richmond.
 
...Wengi wanaomwandama Mhe. Lowassa ni wanafiki wakubwa. Hebu tujiulize, "ni nani ambaye si mzinzi, na amyoonyee mwenzie kidole".

...Watu wanapoteza muda mwingi pamoja na fedha za chama kujadili agenda muflisi. Nani ambaye si gamba na asimame tumwone. Tuwe wakweli, hamna asiye mchafu humo. Ndio maana hamna agenda yeyote ya kusafisha na kukijenga chama itakayofanikiwa.

...Hao ndugu zetu walipaswa kujadili masuala yenye maslahi kwa Taifa na kwanini wananchi wengi hawafaidiki na maliasili za nchi, bali wageni wanajitanua kama shambani mwa bibi.

...Walipaswa kujadili kwanini ubora wa elimu unashuka kwa kasi, utendaji wa sekta ya umma umeporomoka, wizi wa mali za umma umeongezeka, umasikini umeongezeka, vijana wanazidi kukosa ajira, wakulima wanazidi kuwa duni na Taifa linarudi nyuma kimaendeleo.
 

Baelezee baambie habaewi batoto ba tanganyika
 
Shupavu, my foot. Mwizi ni mwizi tu. Hata Billy the kid alikuwa na mashabiki wake.
 
Who is Lowassa by the way? Why Lowassa every time? Yani ina maana hakua mtu mwngine hapa TZ mwneye uwezo/akili kama au zaidi ya Lowassa? Let us stop discussing about Lowassa and let us now discuss any other things which have benefits to the Tanzanians. Stop wasting time to discuss Lowassa.Yani tunaacha kujadili mambo mengine ya muhimu kwa maslahi ya Watz tunapoteza muda mwingi kumjadili Lowassa.
 
ccm hawamwezi lowassa, na wala si kama namtetea. Lowassa anawachezea kama kitenesi. Alishawaambia wachukue maamuzi magumu wameshindwa.
 

Ukisema watz umekosea labda sema inawasumbua ccm
 

Upuuzi, upumbavu upupu, aibu kwako kwakusema mwizi aliyetuibia, fisadi ni shuja kwakujiuzulu na wajinga kama wewe ndo tunataka kuanza na nyie kwakuwaelimisha ili mmwe mnafikira kabla ya kutenda
 
Fisadi huyo hana lolote na kukiteka kikao sijaona ila kama hoja ya ccj imejadiliwa halafu unasema imejadiliwa agenda ya uchumi tu
 

. HUU SASA UCAMEROON (pm of England
 
Hili suala la lowasa is like playing guitar to a mbuzi nothing conclusive will come out of it.
 
tumewazoea hao magamba na vikao vyao vya kilindana
 
msitake kudanganya watu hoja ya kuanzisha ccj ilikuja sita alipotishiwa kunyanyanywa kadi ya magamba,akaona waanzishe chama chao,akagundua hakitapata support kwenye uchaguzi ili awe rais,afunga mdomo akabaki ccm.
Wote hao hawana lolote,yaani mali za nchi hii zinafujwa kila kona live,sita mwenye kipindi cha uspika alichezea hela na mahawara zake walifisadi bunge vibaya.
Lowassa anabatiziwa mambo ya kumchafua kwa nia fluni ya mahisimu wake wa siasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…