Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli......
Nani Waziri mkuu mstaafu? mawaziri wakuu waliopita hawakujiudhuru, wala kushinikizwa kuachia madaraka lakini walipoomba nafasi ya kuwa wakuu wa nchi hii hawakukubaliwa, sijui yeye aliyefukuzwa kama atakuwa na nafasi ya kutimiza ndoto zake. Namtakia kila la kheri.