Lowassa aitabiria CCM Ushindi, Uchaguzi Mkuu 2015

Lowassa aitabiria CCM Ushindi, Uchaguzi Mkuu 2015

Nifikiriavyo mimi,MADARAKA ni kileo kikali sana na mtu kukiachia siyo rahisi hasa kwa nchi za Bara letu pendwa bara la Afrika lenye kila raslimali lakini mpaka leo ni maskini .HIvyo sitoshangaa alivyoongea.
 
baada ya kuwapa maelekezo synovate nini cha kuandika sasa aja na ukichaa huu wa ccm kushinda!!!
 
Afrika na watawala wa milele mpaka anaingia kaburini anataka awe madarakani. Lowasa anajitesa mwenyewe na uchu wa madaraka.
 
Waziri mkuu aliyejiuzulu naye ana maneno mengi sana mara leo bom lililosubili kulipuka mara kile lakini kimsingi ccm haiwezi
kitu tena ikae tu pembeni ituachie nchi yetu.
 
naona mpango wake kwa sasa ni kugonga vichwa vya habari kila wiki,ilimradi tu asisahaulike kwenye siasa.!
 
naona mpango wake kwa sasa ni kugonga vichwa vya habari kila wiki,ilimradi tu asisahaulike kwenye siasa.!

Kama Dr. anavyojianzishia thread zake hapa JF kila wiki.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama Dr. anavyojianzishia thread zake hapa JF kila wiki.Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Majina tunayojipa yana mahusiano makubwa na undani wa ubongo wetu.
 
Huyu jamaa nimtabili mkubwa nandio maana alitabili mkwe wake atashinda ubunge huko arumeru na ikawa hivyn,aliwahi kutabili batilida atakua mbunge wa arusha naikawa,aliwahi kusema kesi ya lema itaamua uchaguzi urudiwe na ccm kukichukua hicho kiti maramoja na ikawa.huyu nimtabiri wakweli sasa ametabiri ccm itaendelea kuongoza nchi maana ameona inapendwa sana kwa swala la udini unao endelea kwa deni la taifa linalo kua kwa kasi,kwa maisha bora ya watanzania na wanainjoy watz ile mbaya kwa watoto wao kupata 0.na yote hayo yanamfanya aseme hivyo sababu anahamu na ikulu ili atunyonye mpaka tubaki mifupa.sasa kama yeye ndio atakae piga kura na zikatosha kuirudisha ccm tena kutu tawala basi watz hatuna haja ya ku vot tunae mganga amesha sema na mkumbuke akisema amesema.2015 fika mapema tujionee majambazi namajizi bwana!!
 
Huyu jamaa ni shehk yahya mbona hajitabilii mwenyewe kuwa rais ajae ccm bwana utabili gani huo yaleyale ya synovate
 
Chadema kuingia ikulu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano! Haitawezekana mara mia elfu kukiachia chakula cha watoto wako kwa mbwa mwenye njaa wewe mzazi utaönekana mjinga na hamnazo kichwani mwako!


Sijui hapo kwenye red una maana gani??

Kwa hiyo nyie CCM kumbe mmeifanya nchi yetu ni chakula chenu na mnakula wenyewe na sisi wananchi wa kawaida ndiyo mnatuita mbwa siyo?? Kweli akutukanaye hakuchgulii tusi!!! Ila mkumbuke kuwa nchi hii ni yetu wote pamoja na hao mbwa unaowasema .................. na CCM haina haki ya kuwaambia Watanzania wanataka nini au ni kipi kizuri kwao maana imekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50 bila maendeleo zaidi ya kuwapa chakula watoto wao na kuwaacha mbwa na njaa!!
 
Hivi huyu Lowasa mbona mnamjadili sana,na hawa Synovate wanasema Lowasa amepanda chati,huyu jamaa anaweza kuwa Rais hivi hivi,hata Zuma wa S.A alikuwa na kashfa zaidi ya E.L lakini ndiye President wa S.A.
 
Chadema kuingia ikulu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano! Haitawezekana mara mia elfu kukiachia chakula cha watoto wako kwa mbwa mwenye njaa wewe mzazi utaönekana mjinga na hamnazo kichwani mwako!

Kweli kabisa.Hata Gadafi alikuwa na mawazo kama wewe.Tofauti yy alikuwa Rais na wewe choka mbaya ya magamba..
 
Hivi kwani ni lazima lowasa aew rais, kwani sipokuwa atadaiwa na nani? kwani akipumzika na kuanza kujijengea heshima ili tusahau ufisadi wake kuna ubaya gani?.....kila napo kwenda kwenye basi, bar na sehemu mbali mbali watu wana isema vibaya CCM. sasa huo ushindi unatoka wapi? au wameisha jua njia ya kisasa zaidi ya kuchakachua matokea, mwaka 2015 hatutokaa kimya tutawaonesha tumechoka kufanywa wajinga
 
Back
Top Bottom