Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Na mbwa ukimjulia jina wala hakupi shida
 
Siyo tu kuwa havai magwanda lakini hata zile sare za fulana na kofia za Chadema nazo 'hazigusi' mwili wake.

Inawezekana kimwili yupo Chadema lakini kiroho bado yupo Sisiemu.

hata Nyerere hajawahi kuvaa mishati yenu ya kijani kama pazia za hospital ya wamama wajawazito!
 
Speed mwendo wa jumbo jet 747-8 gear inabadilishiwa heni ndege hakuna kusubiri babu mbele kwa mbele
 
View attachment 273359

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la Chadema
Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana

ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.

Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.

Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
 
kama wadau mnakumbuka sikuilee alivyo rudisha fomu mbowe kamwambia suti au gwanda lake linaandaliwa
 
Huyu jamaa katumwa kwenda iangamiza UKAWA.
Wait u'll see.
 
Unajua hili swali kila asie na maono ya mbali analiuliza lakin ngoja nikujibu wewe ukawaambie na wenzako...LOWASSA ameingia upinzan kupitia CHADEMA lakin ukumbuke kwa mujibu wa vyama vyote vi4 kufanya maridhiano hvyo kuegemea upande wa CHADEMA pekee kwa kuvaa GWANDA ni kuonyesha hali ya kuweka rahani micmamo ya wanachama wa vyama vingine..!!MBOWE NA LOWASSA wana BUSARA sana hvyo wametaka LOWASSA awe kawaida kabisa maana soon atakabidhiwa jukumu la kuviwakilisha vyama vi4 hvyo ni lazima awe negative kwa maslahi ya MUUNGANO vyama na watanzania kwa ujumla

Sikubaliani na wewe, kama amejiunga kupitia Chadema lazima gwanda livaliwe vinginevyo propaganda zikianza kukita humu ndani tutamtafuta mchawi. Acheni usanii kama kaja Chadema avae gwanda.
 
View attachment 273359

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la Chadema
Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana
Yani haya kama maigizo ya kina late Kanumba kweli pesa noma
 
Unajua hili swali kila asie na maono ya mbali analiuliza lakin ngoja nikujibu wewe ukawaambie na wenzako...LOWASSA ameingia upinzan kupitia CHADEMA lakin ukumbuke kwa mujibu wa vyama vyote vi4 kufanya maridhiano hvyo kuegemea upande wa CHADEMA pekee kwa kuvaa GWANDA ni kuonyesha hali ya kuweka rahani micmamo ya wanachama wa vyama vingine..!!MBOWE NA LOWASSA wana BUSARA sana hvyo wametaka LOWASSA awe kawaida kabisa maana soon atakabidhiwa jukumu la kuviwakilisha vyama vi4 hvyo ni lazima awe negative kwa maslahi ya MUUNGANO vyama na watanzania kwa ujumla

umeongea jambo la msingi
 
Back
Top Bottom