KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,098
- 40,755
Kumpokea Lowasa ni sawa na kuchukua kinyesi chooni na kukileta sebuleni......
Huyo mkurugenzi wa NHC kwanza ni fisadi mkubwa Kila kampuni zote alizozipa Tenda kachukua 10% pia zile nyumba mpya kajenga kwa gharama ndogo lakini anaziuza kwa gharama kubwa kuna Ufisadi mwingi huko NHC kuliko NSSF , Rais magufuli tunaomba utume watu huko uone maajabu ya Dunia .1993 - 2016 ni miaka zaidi ya 23 sasa, imepita awamu ya Mwinyi, Nkapa, JK na hawakuwahi kuliona hili. Huyu bosi wa NHC wa sasa amatumia mabilioni ya wanyonge ambao ndio wamiliki wa NHC kujenga majumba kwa ajili ya kumilikisha matajiri na mafisadi kwa kipindi alichokuwepo na hakuwahi kuliona hili pia hadi harakati za UKUTA zilivyoanza!
Ninachojua katika biashara ni kwamba hakuna kampuni isiyofanya mahesabu kila mwaka kwa maana profit & loss na biashara na pande mbili za sarafu.
Kivuko feki cha 1978 kwa bilion 8 pia kuna zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi Hewa .Magu aliuza nyumba zote bei ya kutupa,hawara kapewa mbili,bado mnatafuta mchawi?
Hapana...Daily News ni gazeti la serikali. Lina nguvu kubwa ya kisheria...katika habari zake (serikali kwa namna fulani) zinazoandikwa humo. Kila mtanzania anatakiwa kujivunia gazeti hili, maana ni gazeti la serikali yake. Uhuru ni gazeti la chama cha siasa...habari zake ni muhimu sana kwa mlengo wa siasa za chama kinachomiliki gazeti hilo. Kila mwanachama wa chama hicho cha siasa anatakiwa kujivunia gazeti hili kwani ndiyo sehemu nzuri ya kuona nuru ya chama hicho.Daily News, na UHURU ni ndugu moja!...Acheni kutuchora!
#UKUTA
Hivi uliwahi kujishughulisha kutafuta majibu ya swali lako kutoka kwa aliyekuwa waziri mkuu wake kipindi hicho? Alizungumzia mambo haya eti...!!..hivi kuna mtu mwenye hatia ya kufisadi nyumba za serikali/umma kumzidi Magufuli?
Hivi uliwahi kujishughulisha kutafuta majibu ya swali lako kutoka kwa aliyekuwa waziri mkuu wake kipindi hicho? Alizungumzia mambo haya eti...!!
Daily News, na UHURU ni ndugu moja!...Acheni kutuchora!
#UKUTA
1993 - 2016 ni miaka zaidi ya 23 sasa, imepita awamu ya Mwinyi, Nkapa, JK na hawakuwahi kuliona hili. Huyu bosi wa NHC wa sasa amatumia mabilioni ya wanyonge ambao ndio wamiliki wa NHC kujenga majumba kwa ajili ya kumilikisha matajiri na mafisadi kwa kipindi alichokuwepo na hakuwahi kuliona hili pia hadi harakati za UKUTA zilivyoanza!
Ninachojua katika biashara ni kwamba hakuna kampuni isiyofanya mahesabu kila mwaka kwa maana profit & loss na biashara na pande mbili za sarafu.
Kama yalivyo Tanzania Daima na Mwanahalisi
Kwahiyo unaliamini DAILY NEWS(HABARI LEO) kwa sababu tu ni la serikali?Hapana...Daily News ni gazeti la serikali. Lina nguvu kubwa ya kisheria...katika habari zake (serikali kwa namna fulani) zinazoandikwa humo. Kila mtanzania anatakiwa kujivunia gazeti hili, maana ni gazeti la serikali yake. Uhuru ni gazeti la chama cha siasa...habari zake ni muhimu sana kwa mlengo wa siasa za chama kinachomiliki gazeti hilo. Kila mwanachama wa chama hicho cha siasa anatakiwa kujivunia gazeti hili kwani ndiyo sehemu nzuri ya kuona nuru ya chama hicho.
Tatizo stori hiyo ya Daily news inaelea hewani!Lowassa akiwa waziri wa ardhi alimwelekeza aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa NHC Haruna Masebo auze jingo la NHC ilipo Bills Kwa Mbowe Hotels Ltd hata hivyo mwenyekiti wa Bodi Emilius Mzena aliishauri serikali/ikulu kuwa isingewezekana.
Baada ya kushindikana Lowassa akahakikisha NHC na Mbowe Hotels Ltd wanaingia mkataba tata ambao Mbowe hotels walimilikishwa 75% umiliki wa jengo na 25% kubaki kinyume na Taratibu, ingewezekana hivyo kama NHC walitoa ardhi tupu..lakini uhalisia ni kwamba Mbowe Hotels walikuta jengo.
Mbowe Hotels wameshindwa kutekeleza makubaliano ya mkataba toka mwaka 1993 ambao uliwataka kujenga hoteli ya kisasa yenye vyumba 100,kumbi za kisasa na CASINO ambavyo havijafanyika, uwekezaji ungegharimu milioni 720 mwaka 1993.
NHC walianza mchakato wa kuvunja mkataba februari,2015 pamoja na kuwadai Mbowe Hotels Limbikizo la kodi la zaidi ya shilingi bilioni moja ambapo kwa sasa Mbowe Hotels wanatakiwa kurudisha majengo na kulipa ndani ya siku chache kuanzia sasa.
Chanzo; (Daily News 26.08.2016)
=======
Maoni yangu.
Kwa wale walipo Dar mtakuwa mashahidi kwa takribani miaka miwili/mitatu hii klabu ya bills imedorora na kwa siku za karibuni Lowassa/Mbowe wamekuwa akifanyia vikao vya CHADEMA/BAVICHA/CHASO nk.
Mbowe ni Lazima ulipe kodi ya jengo hilo ili uonyeshe kuwajibika kama kiongozi na sio kutumia vijana kukutetea kwa mambo wasiyoyajua kuhusu biashara na familia.
Mbowe ana historia ya kutokuwa mlipaji mzuri wa mikopo kwani hata NSSF kwa muda mrefu wamesumbuana naye kwa mkopo waliompatia miaka ya 90 wa takrikani shilingi bilioni moja.
Chanzo cha migogoro mingi ya ardhi hasa viwanja vya serikali viliasisiwa na Lowassa alipokuwa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi. Alijitwalia ardhi Masaki alipojengewa na mabwanyenye nyumba amepangisha ubalozi wa Afrika Kusini katika muda mfupi akiwa waziri, familia yake na marafiki wanamiliki viwanja vingi vyenye utata hasa katika wilaya ya kinondoni na CBD. Mtakumbuka mwaka jana kuna nyumba Tegeta ilibomolewa na mwanafamilia wa Lowassa katika kugombania ardhi.
sina suala lingine la nyongeza zaidi ya kukushauri kulipenda hilo gazeti maana ni sehemu mojawapo tunaweza kupata habari juu ya yale serikali inapanga ama inafanya, ama imekwisha kufanya kwa ajili ya kuimarisha kujitegemea kwa watanzania kiuchumi na kijamii.Kwahiyo unaliamini DAILY NEWS(HABARI LEO) kwa sababu tu ni la serikali?
Mimi siliamini kwa sababu ni la serikali!
Ushauri wako nimeukataa!sina suala lingine la nyongeza zaidi ya kukushauri kulipenda hilo gazeti maana ni sehemu mojawapo tunaweza kupata habari juu ya yale serikali inapanga ama inafanya, ama imekwisha kufanya kwa ajili ya kuimarisha kujitegemea kwa watanzania kiuchumi na kijamii.
Lazima ukubali,hauna mbadala....au unataka mwanahalisi la Kubenea lililopata tuzo kwa kufichua maovu ya Lowassa?Ushauri wako nimeukataa!