Lowassa ahusishwa na ufisadi ukodishwaji Mbowe Hotels Ltd

Lowassa ahusishwa na ufisadi ukodishwaji Mbowe Hotels Ltd

ukweli humweka mtu huru hawa mambo yote yaliyowekwa siri, yaanikwe hadharani, na Yale ya kifisadi,mahakama ya wahujumu uchumi inawahusu.
 
Tangu 1985baada ya Mwalimu J.K. Nyerere kung'atuka hakuna kiongozi mkuu ndani ya chama chao na serikali ambaye aliondoka/kustaafu bila kuwa na kashfa ya ulaji/ufujaji/wizi/kutofuata taratibu n.k,enzi ya ruksa tunajua yaliyotokea,enzi ya Ben tumeyashuhudia,ya Jakaya tunayajua na hata aliopo sasa akitoka tutayasikia pamoja na kwamba mengine yanajulikana.
Kama Mbowe hayumo serikalini lakini amepiga ingekuwaje kama angekabidhiwa chungu, tungepata mboga kweli?
 
UkUTA utawasumbua mpaka mkome . Cdm itaendelea kustawi zaidi kitaifa na kimataifa.
 
SO SAD
20160826_045820.jpg
26 August 2021 Daily News front pg to read "Former President linked with dubious sale of government houses".

what goes around comes around!
 
Makaburi yanazidi kufukuliwa ambayo hayawezi kubadilisha hisia za waombolezaji
 
Nchi ya ajabu sana, yani katika orodha ya wadaiwa sugu taasisi za serikali zipo 29 ,ila for political interests MBOWE HOTELS LTD ndiyo imekuwa gumzo!!!!!
 
By then.....
Rais alikuwa CCM
Makamu CCM
Waziri Mkuu CCM
Mawaziri CCM
Nguvu bungeni CCM
Vyombo vya dola chini ya CCM


Kwa nini hatua hazikuchukuliwa kwa Waziri wa ardhi?!!! Simple, wote "wapiga dili" ndani ya CHAMA.
 
Ccm acheni siasa za kitoto watu wameamua kupenda ukawa ata mkisema wote ni wezi na mafisadi tutabaki nao hivyo hivyo na ufisadi wao.

Nyie ccm sio mafisadi ni wasafi sana lakini hatuwataki mda wenu ulishapita mko madarakani kwa nguvu tuu ya dola hiloo liko wazi mioyoni mwenu.

Watanzania wameshaweka pamba maskioni mwao. Mnajisumbua.
 
Watanzania acheni uongo hamchoki? Mbona nchi hii kila kitu lowassa lowassa tumechoka Na uongo wenu
 
na yule alimuuzia kimada nyumba ya serikali kwa bei ya kutpwa tumuiteje? mzee wa vijisent, escrow etc
 
Hakuna hata mmoja anaekanusha mmekalia chuki chuki, chuki hizo ufisadi ukitajwa kwa mbowe na lowasa tu? Lakini ukitajwa kw jk au jpm si chuki ni ufisadi kweli, mnajielew kweli?
 
na yule alimuuzia kimada nyumba ya serikali kwa bei ya kutpwa tumuiteje? mzee wa vijisent, escrow etc
Kwa nn mkitajiwa ufisadi wa viongozi wenu mnafananisha na wa mtu mwingine? Basi hakuna tofauti either ccm au CHADEMA kua madarakani wote sawa maana na wao wataiba kwa sbb CCM waliiba na ndiyo itakua kujitetea kwao
 
Nani ni msafi ndani ya CCM.?
.Labda yule Mwanachama asiye na cheo.
 
Back
Top Bottom