SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
MBOWE mbona haingii kwenye list ya FORBES jamaa!
Mbowe na Lowassa ni CCM?Nani ni msafi ndani ya CCM.?
.Labda yule Mwanachama asiye na cheo.
Mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa mwanadamu mchungu.Daily News, na UHURU ni ndugu moja!...Acheni kutuchora!
#UKUTA
Kwa bahati mbaya suala la ufisadi tumelitafsiri vibaya kama tulivyotafsiri ukabila. Wale waliokuwepo wanajua kabisa kwamba zaidi ya 95% walihusika kwenye ufisadi kwa njia moja au nyingine na asilimia 98% ya hao bado wako kwenye nafasi zao na sisi tunaendelea kujidanganya eti rushwa na ufisadi vimeisha!Utakingia kifua Mafisadi mpaka lini ??
NHC WANAJENGA NYUMBA ZA GHALI LAKINI WANAZIUZA KWA FAIDA. HAWAZITOI KWA BEI CHE.1993 - 2016 ni miaka zaidi ya 23 sasa, imepita awamu ya Mwinyi, Nkapa, JK na hawakuwahi kuliona hili. Huyu bosi wa NHC wa sasa amatumia mabilioni ya wanyonge ambao ndio wamiliki wa NHC kujenga majumba kwa ajili ya kumilikisha matajiri na mafisadi kwa kipindi alichokuwepo na hakuwahi kuliona hili pia hadi harakati za UKUTA zilivyoanza!
Ninachojua katika biashara ni kwamba hakuna kampuni isiyofanya mahesabu kila mwaka kwa maana profit & loss na biashara na pande mbili za sarafu.
Kesho mhariri weka title hii Magufuli linked with sales of NHC housesLowassa ahusishwa na uifisadi ukodishwaji Mbowe Hotels Ltd.
Lowassa akiwa waziri wa ardhi alimwelekeza aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa NHC Haruna Masebo auze jingo la NHC ilipo Bills Kwa Mbowe Hotels Ltd hata hivyo mwenyekiti wa Bodi Emilius Mzena aliishauri serikali/ikulu kuwa isingewezekana.
Baaday ya kushindikana Lowassa akahakikisha NHC na Mbowe Hotels Ltd wanaingia mkataba tata ambao Mbowe hotels walimilikishwa 75% umiliki wa jingo na 25% kubaki 25% kinyume na Taratibu, ingewezekana hivyo kama NHC walitoa ardhi tupu..lakini uhalisia ni kwamba Mbowe Hotels walikuta jingo.
Mbowe Hotels wameshindwa kutekeleza makubaliano ya mkataba toka mwaka 1993 ambao uliwataka kujenga hoteli ya kisasa yenye vyumba 100,kumbi za kisasa na CASINO ambavyo havijafanyika, uwekezaji ungegharimu milioni 720 mwaka 1993.
NHC walianza mchakato wa kuvunja mkataba februari,2015 pamoja na kuwadai Mbowe Hotels Limbikizo la kodi la zaidi ya shilingi bilioni moja ambapo kwa sasa Mbowe Hotels wanatakiwakurudisha majengo na kulipa ndani ya siku chache kuanzia sasa.
Chanzo; (Daily News 26.08.2016)
Maoni yangu.
Kwa wale walipo Dar mtakuwa mashaidi kwa takribani miaka miwili/mitatu hii klabu ya bills imedorora na kwa siku za karibuni Lowassa/Mbowe wamekuwa akifanyia vikao vya CHADEMA/BAVICHA/CHASO nk.
Mbowe ni Lazima ulipe kodi ya jingo hilo ili uonyeshe kuwajibika kama kiongozi na sio kutumia vijana kukutetea kwa mambo wasiyoyajua kuhusu biashara na familia.
Mbowe ana historia ya kutokuwa mlipaji mzuri wa mikopo kwani hata NSSF kwa muda mrefu wamesumbuana naye kwa mkopo waliompatia miaka ya 90 wa takrikani shilingi bilioni moja.
Chanzo cha migogoro mingi ya ardhi hasa viwanja vya serikali viliasisiwa na Lowassa alipokuwa waziri wa ardhi,nyumba namaendeleo ya makazi.Alijitwalia ardhi Masaki alipojengewa na mabwanyenye nyumba amepangisha ubalozi wa afrika kusini katikamuda mfupi akiwa waziri,familia yake na marafiki wanamiliki viwanja vingi vyenye utata hasa katika wilaya ya kinondoni na CBD..mtakumbuka mwaka jana kuna nyumba Tegeta ilibomolewa na mwanafamilia wa Lowassa katika kugombania ardhi.
Soma gazeti mchakato umeanza February 2015 wkt kulikuwa na ukuta1993 - 2016 ni miaka zaidi ya 23 sasa, imepita awamu ya Mwinyi, Nkapa, JK na hawakuwahi kuliona hili. Huyu bosi wa NHC wa sasa amatumia mabilioni ya wanyonge ambao ndio wamiliki wa NHC kujenga majumba kwa ajili ya kumilikisha matajiri na mafisadi kwa kipindi alichokuwepo na hakuwahi kuliona hili pia hadi harakati za UKUTA zilivyoanza!
Ninachojua katika biashara ni kwamba hakuna kampuni isiyofanya mahesabu kila mwaka kwa maana profit & loss na biashara na pande mbili za sarafu.
Lowasa past tenseMbowe na Lowassa ni CCM?
Nini kibaya alichofanya Lowasa hapo,mbona hiyo 25% per 75% shares ndio Sera iliyokuwepo nhc toka wakati huo na Leo.na sana kuombea ngazi ya juu kulisababishwa na dhuluma ya rushwa kwa wazalendo weusi kuwekewa vikwazo kupata na management ya nhc wakati huo.kumbuka upande mwingine Mengi alivyo wekewa vikwazo kununua Kilimanjaro hotel.Hakika,nashukuru kwa msaada wako...kubandika kielelezo.
Soma vizuri mkuu.Nini kibaya alichofanya Lowasa hapo,mbona hiyo 25% per 75% shares ndio Sera iliyokuwepo nhc toka wakati huo na Leo.na sana kuombea ngazi ya juu kulisababishwa na dhuluma ya rushwa kwa wazalendo weusi kuwekewa vikwazo kupata na management ya nhc wakati huo.kumbuka upande mwingine Mengi alivyo wekewa vikwazo kununua Kilimanjaro hotel.
Yupi?...Mbona mnashinda humu JF mnamtukana Rais?Mhh ungemtaja wa ccm uone sheria inavochukua mkondo wake