Lowassa agonga Mwamba

Lowassa agonga Mwamba

Yaani huo msongamano uweke viatu chini kumshangilia Lowasa? Vikipitiwa au visipoonekana baada ya tukio la Lowasa kuisha ukamlaumu nani? Ulichonacho mkononi kama hakina uzito mkubwa inua shangilia!
 
Pole sana, you are in denial and panic after seeing your candidate getting tough opposition from thinkers who comprehended Dr. Slaa.

Acha upumbavu [sijatukana so sheria hainihusu]. Tulia dawa ikuingie takoni. Maana sindano mnazochomwa na ukawa safari hii ni kristapeni... zinauma!
 
Hapa kazi tu maigizo peleka kwa Lowassa
 
Sasa kuna tusi gani hapo?Hebu leta tafsiri
 
Dah yaani resolution ya rais mtalajiwa na hao.walovaa viatu ni.tofauti kabisa....dah MBONA MNAANGAIKA SANA??

KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTEREZA KWELI DAH.
Mtapinga sana mwaka huu, lakini kilio kamili ni October 25 siku ambayo mtabebwa na ambulance kuelea hospitali za CCM.
 
Yaani huo msongamano uweke viatu chini kumshangilia Lowasa? Vikipitiwa au visipoonekana baada ya tukio la Lowasa kuisha ukamlaumu nani? Ulichonacho mkononi kama hakina uzito mkubwa inua shangilia!
Kumbo jamaa zenu ni wezi. Kazi kweli kweli UKAWA.
 
Ccm ogopeni Mungu. Acheni kuwapa fedha vijana na kuwavalisha kilofa ili wamfanyie lowasa mambo haya halafu mnadai ni Chadema wamemchoka! Vijana hawa wanafahamika kuwa ni ccm na wanasema mtaani baada ya kitendo hiki kuwa wamehongwa! Eti kwao hapendwi mtu bali noti!!!
Mungu hana uhusiano wowote ule na FISADI. Muogope Mungu kwa kumzulia uongo.
 
CCM haina muda wa kuandaa vijana hao ni wafuasi halali waliochoka uongo.
 
11037113_949528051780451_4082133712484005800_n.jpg

Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Photoshop kum'mako!!
 
Tuwe watu wa kufikirisha akili,hao watu walikuwa wanafanya nini? Lets say ni waosha magari na wakati Lowassa anapita wakaacha kazi zao kuja kumuona,inawezekana ni wauza viatu wamachinga,lakini pia sio utamaduni wa kibantu/kitanzania kudharau kwa viatu,mathalani kabila letu ni heshima kumsalimia ukiwa umevua viatu.TIJIFIKIRISHE kitendo kimetoaje ndipo tuhukumu.
 
You are out of context. Chadema Asili at work and are tired of been controlled by few elites.
 
photo shop!
MTAFANYA KILA AINA YA UPUUZI LAKINI HAMTAFANIKIWA LOWASSA NI GWIJI
 
Back
Top Bottom