Lowassa agonga Mwamba

Lowassa agonga Mwamba

11037113_949528051780451_4082133712484005800_n.jpg


Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Umechemsha na Adobe Photoshop yako, makamanda huu ni usanii wa Buku 7 tu.Kwanza hakuna watu wanaotaka mabadiliko kama hawa watu maana wana khali ngumu sana hata ukiangalia picha zao tu.
aona
Kuthibitisha usanii wa lumumba huyu angalia picha ya the coming president na ya wamachinga utaona tofauti kubwa ya rangi.Pole sana kwa kuutumika vibaya ila mwisho October 25,2015 tuna kwenda kukukomboa toka jehanamu uungane na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Hao wote ni machinga na wanauza viatu na wamebeba viatu na mabegi yao mgongoni na pia picha inaonyesha viatu ni visafi na mmoja anaonyesha viatu tofauti hiyo ipo wazi ni wamachinga wapo zao kazin wanampa hi mzee wao au huyo wakatikati akikuwa kava viatu tofauti? bas atakuwa ni kichaa bas
 
11037113_949528051780451_4082133712484005800_n.jpg


Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
pole kwa kutumika nyuma, maana akili zako zote zipo makalioni!
 
Hivi nyie UKAWA mnapenda sana bure. Yaani shule zote muende bure. Hospitali bure. Hii bure itawafikisha pabaya sana nyie.

Mr Chin sasa naanza kuamini kuwa unapokuwa muumini wa CCM unakuwa kipofu wa mawazo,unakuwa na urapurapu na ufinyu finyu wa mawazo.Hivi hufahamu kuwa Watanzania wanaongoza duniani kwa kulipa kodi nyingi katika Serkali yao bila wao kujijua? Mfano:Unaponunua chumvi,sukari,unga,bia,soda,maji ya chupa,juisi,chandarua,mafuta ya taa,petrol,nguo,mashuka n.k unalipa kodi inayoitwa indirect tax ambayo mwananchi (Mlaji) ndiye anayoibeba na wala sio Mtengenezaji ama mfanya Biashara wa bidhaa hiyo!!Mtengenezaji na Mfanaya Biashara anapopanga bei ya bidhaa yake anajumuisha na kodi aliyolipia pamoja na faida na mlaji ndio anailipia.Kuna kodi za moja kwa moja (Direct tax).Hizi ni kama kodi ya kiwanja,nyumba,vyombo vya moto,kichwa,n.k!!!Unafikiri mapato haya yanapoifikia Serikali wanapaswa kuifanyia nini Jamii iliyolipa kodi hizo?Bahati mbaya katika nchi yetu,watu wenye uwezo ndio wakwepa kodi wakubwa.Kwa nini wasitupe elimu ya bure kwa maana kwa gharama ya kodi zetu?
 
Back
Top Bottom