Vijana wa chadema mnaanza kula mlichokipanada sasa na kumbuka kipindi cha Zitto mlianza kuleta vipropaganda kama hivi ,KWA kutumwa vijana wakamfanyie uhuni ZITTO,mkasema hao ni vijana halali wa cdm ,sasa kwa nin sasa msikubali tu hao ni wafuas halali wa Cdm kwa nin mnaamin kuwa hizo ni propaganda za CCM