mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 961
Ndugu yangu upo?Mambo yamepamba moto sasa.
Tutashuhudia mengi.
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.
nonsense
njia cheupe ya kwenda motoniLowassa njia nyeupe 2015
which is nonsense particularly
- an earlier departure?
- skipping lunch?
- protocol abuse?
- or interpretation of the whole situation
you need to specifically point out the "nonsense" your referring to,
na kiwewe atakuwepo piasafari ya matumaini
hata wangekutana porini sisi haituhusuHawajakutana barabarani
acheni kutunga stori za kijinga...kama hauna kitu cha kufanya si afadhali uende ukapige hata ramli?
He!Jipya hili mtwa mkulu. Ndio nalisikia kwa mara ya kwanza.kitendo cha kumpoison kinaumiza saaana afanye hvyo. kisasi ni haki yake