wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Kuongea maneno Mengi Sio ndio Kiongozi Bora, Kiongozi Mwingine Anatenda. Tatizo Mitanzania Imezoea Kudanganywa na
Wanasiasa Wabwabwaji. Je Marais wako Waliotangulia kwa Kubwabwaja kwao Unaona Walipotufikisha?.
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Hizo porojo za ccm na hoja mfuu. Watanzania hawati rais anaeongea snaaaaa kama cherehani na kutoa ahadi za uongo. Watanzania wanataka man of action sio kubwabwaja mdomo Tu. Na lowasa ndie tunaemuhitaji kwa mabadiliko.
Kazi yetu kulinganisha na ile timu grass
Ameongea Dk ngapi?
Asante!!...Aliongea huku amelala. Ila kura zetu anazo
Dakika 3...afu baada ya hapo watu wakaambiwa waelekee kwenye malori
Mshumbushi naona unahangaika sana na bado endelea kuzalishwa na hako kazee pambaf