Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,299
- 283,258
muogope mola wako , katika orodha ya wanasiasa waliodondoka jukwaani lowasa yumo ?nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.
kura yangu kwa lowasa tu
muogope mola wako , katika orodha ya wanasiasa waliodondoka jukwaani lowasa yumo ?
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
COARTEM Msigwa kwa kupanic ndio mwenyewe anaongea mpaka mapovu yanamtoka.
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Ata asipo simama atumuitaji makufuli tutampa lowasa tuuu atupeleki propaganda au mabondia ikulu ....magufuli shule azina madawati anasema anatrngeneza FLY OVER na reli nchi nzima uu ni uongo wa waziwazi