Lowassa Afunika Iringa

Msigwa na akanunue doddoki. Ili mfanyabiashara awe safi. Ni kinyume cha sheria kumzuia m-tz kufanya manunuzi kadri hitaji na pesa yake inavyo ruhusu. Je, unaturudisha Mbeya? Nchi yetu tunaonyana na tu wamoja. Ila kwa Chadema naona hili hamna. Kama Slaa alitimliwa...... Sheria ya vyombo vya habari ina kuja kesho tu ngoja niishie hapo
 
Hajui km jamaa anaweza kumpeleka mahakamani na akalipwa fidia ya kutosha mnoo. Ningekuwa karibu ningempa maujanja, nashauri jamaa atafute mwanasheria mzuri najua mch hatarudia tena kuropoka asilojua. ..lets wait loading....
 
Ccm mtajibeba mwaka huu. Mirija yoote itakatwaa.
 
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

Wenyewe walishasema hujafa hujaumbika!. Kesha ukiomba unachopenda kukisikia ktk swali lako hili kisitokee ktk familia yako.
 
Hata akiwa mfuuu (hatuombei) tutampa kura. Bora afie ikulu tumzike kwa heshima kama baba yetu Nyerere. Jua tumewachoka mno wana Pocono wa ccm
 
Huyu ndiyo mwisho wake na hata angechukuwa za machangu woote na mabaamedi na majmbz ,wooyte ndiyo wako mjini wslala hoi wako shamba
 
niko iringa mwaka wa pili sasa Msigwa yuko vizuri ccm na mwakalebela wetu hatuwezi kupenya
 

Hakika
 
Mungu akupe nguvu Rais wetu Lowassa. Tunakuombea usiku na mchana. Tutakuchagua kwa kishindo.
 

Watanzania wakiona haya wanafikiri ni ndoto kwa kuwa CCM wametufanya tuone kuwa kila kitu hatuwezi!!
 
mm hata kivuli cha lowasa ntakipigia kura ilimradi kuwakomesha hawa viburi ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…