Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes.
Najua unalipwa kuandika hivi ila watoto wako hawatalipwa na watakuwa watumwa kwenye taifa lao endapo huyu mtu atapata anachokitafuta. Natumia maneno ya waziri mstaafu, Fredrick Sumaye, "watanzania msipokuwa makini mtawakabidhi nchi wauza msdawa na mitandao yao" hels wanazogawa kwenye nyumba za ibada wanazipata kwa njia hizo na watazirudisha pindi wakimweka mwenzao. Sasa mimi na familia yangu tukubali nini hapo?
Kumbuka huyu mtu alishajiuzuru kwa kukubali kuliingiza taifa gizani hili ajipatie hela, ndugu yangu wewe ndo unaona ni mtu shujaa huyo?
Lakini si nyie nyie mlopewa kofia na kanga mkaona JK anawapenda? Endeleeni kuchimba ksburi. Kumbuka yupo Mungu pia.Kwa Mungu, Anayeliibia taifa mammilion kwa siku, anayepokea kofia na kanga, anayepewa boda boda, wote ni sawa....hivyo msidhani mtamnyooshea kidole Lowassa baada ya mambo kugeuka. Kama Mungu akimwadhibu Lowassa, hatawaacha ninyi pia.
Nchi ya Haiti maovu ya kushabikia ujinga kama huu yalikuwa yamefika mwisho. Watu kama Lowassa, wewe walikuwa wamejaa huko. Ilitumia sekunde 35 tu kuleta kilio kwa taifa lile. Sekunde 35. Si mtoto, si baba, si mama, si mzee....hakukuwa na kuchagua. Wote waliangamia.
Si huko tu, taifa za Burundi na Rwanda. Hawa nao ujinga wa chuki uliwafikisha kukatana mapanga na hakuna taifa lililoingilia kuwaokoa mpaka wakachoka.
Rafiki yangu, sidhani kama unaelewa naandika nini kwa jinsi ninavyokuona. Kina Lowassa wakishaipata nchi wataweka watu wao kuabzia usalama taifa hadi balozi wa nyumba kumi. Kama alivyofanya JK. Angalia usalama ulivyo sasa hivi.
Wakishafanya hivyo, hiyo pesa yao itarudi na wewe na mimi ndo tutailipa. Hutalalamika kwa sababu wao hawatatoa kucha na meno tu, watakuwa wanaua live hili hela yao irudi. Umeme tutalipa kwa bei wanayoitaka wao. Haitakuwa nchi tena. Kama unadhani sasa hivi nchi yetu inasifika kwa kuuza madawa, subiri hawa nashujaa wako waje. Watakuwa wanayasafirisha wenyewe na kwa sababu hiyo, tofauti kati ya tajiri ja maskini itakuwa kubwa muno. Hii ndo italeta machafuko nchini kwa sababu hata ukipewa buku 7, hazitakusaidia lolote kutokana na mfumuko wa bei. Utawala wa Lowassa hautakuwa na wapinzani. CDM, CUF na wengine, mkifanya mchezo huu ndo mwisho.
Sasa mimi na familia yangu kama unavyosema, tujue haya na tumkubali Lowassa? Hata inchi moja. Naipenda nchi yangu, napenda watu wake na zaidi naipenda familia yangu na kumwogopa Mungu, hivyo namkataa Lowassa kaka.
Zigo la EPA hili mburula wewe!siku zote nabii hakubaliki kwao,kwahi ucjali kwa hilo.
kama ni wapiga kura pia usiwabeze!Wavuvi wa dagaa webzie walionyesha bango linasema zitto ni kama mandela...mxxxx akili za wavua dagaa hawa
Kabisa mkuu huo mti kuuangusha ni vigumu
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
China kaka. Kule ukikamatwa hata na dawa ya kulevya, kifo ndo adhabu. Sasa iweje uibie taifa lako na kuliingiza gizani? Kujiuzuru tu haitoshi. Wanakunyonga!China ipi,? Ile yenye lilie kundi ovu la YAKUZA,ambao ni twin brothers na redbrigade
Watu wote wangejadiri topic kama wewe nchi yetu ingekuwa mbali sana. Asante sana!Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes.
Najua unalipwa kuandika hivi ila watoto wako hawatalipwa na watakuwa watumwa kwenye taifa lao endapo huyu mtu atapata anachokitafuta. Natumia maneno ya waziri mstaafu, Fredrick Sumaye, "watanzania msipokuwa makini mtawakabidhi nchi wauza msdawa na mitandao yao" hels wanazogawa kwenye nyumba za ibada wanazipata kwa njia hizo na watazirudisha pindi wakimweka mwenzao. Sasa mimi na familia yangu tukubali nini hapo?
Kumbuka huyu mtu alishajiuzuru kwa kukubali kuliingiza taifa gizani hili ajipatie hela, ndugu yangu wewe ndo unaona ni mtu shujaa huyo?
Lakini si nyie nyie mlopewa kofia na kanga mkaona JK anawapenda? Endeleeni kuchimba ksburi. Kumbuka yupo Mungu pia.Kwa Mungu, Anayeliibia taifa mammilion kwa siku, anayepokea kofia na kanga, anayepewa boda boda, wote ni sawa....hivyo msidhani mtamnyooshea kidole Lowassa baada ya mambo kugeuka. Kama Mungu akimwadhibu Lowassa, hatawaacha ninyi pia.
Nchi ya Haiti maovu ya kushabikia ujinga kama huu yalikuwa yamefika mwisho. Watu kama Lowassa, wewe walikuwa wamejaa huko. Ilitumia sekunde 35 tu kuleta kilio kwa taifa lile. Sekunde 35. Si mtoto, si baba, si mama, si mzee....hakukuwa na kuchagua. Wote waliangamia.
Si huko tu, taifa za Burundi na Rwanda. Hawa nao ujinga wa chuki uliwafikisha kukatana mapanga na hakuna taifa lililoingilia kuwaokoa mpaka wakachoka.
Rafiki yangu, sidhani kama unaelewa naandika nini kwa jinsi ninavyokuona. Kina Lowassa wakishaipata nchi wataweka watu wao kuabzia usalama taifa hadi balozi wa nyumba kumi. Kama alivyofanya JK. Angalia usalama ulivyo sasa hivi.
Wakishafanya hivyo, hiyo pesa yao itarudi na wewe na mimi ndo tutailipa. Hutalalamika kwa sababu wao hawatatoa kucha na meno tu, watakuwa wanaua live hili hela yao irudi. Umeme tutalipa kwa bei wanayoitaka wao. Haitakuwa nchi tena. Kama unadhani sasa hivi nchi yetu inasifika kwa kuuza madawa, subiri hawa nashujaa wako waje. Watakuwa wanayasafirisha wenyewe na kwa sababu hiyo, tofauti kati ya tajiri ja maskini itakuwa kubwa muno. Hii ndo italeta machafuko nchini kwa sababu hata ukipewa buku 7, hazitakusaidia lolote kutokana na mfumuko wa bei. Utawala wa Lowassa hautakuwa na wapinzani. CDM, CUF na wengine, mkifanya mchezo huu ndo mwisho.
Sasa mimi na familia yangu kama unavyosema, tujue haya na tumkubali Lowassa? Hata inchi moja. Naipenda nchi yangu, napenda watu wake na zaidi naipenda familia yangu na kumwogopa Mungu, hivyo namkataa Lowassa kaka.
Asante Michael kwa uchambuziNakubaliana na wewe ila kwa mujibu wako unaonekana unasema hakuna solution nchini. Mimi bado naamini kwamba mtu asiye rafiki wa hawa watu anaweza kuvunja mitandao yao. Kwa CCM ni Mwakyembe tu. Kina Dr. Slaa wanaweza maana wameonesha nia toka wako Bungeni, sasa sijui kwa nini sasa hivi tu doubt nia yao.
Lowassa ni mwizi tu. Anachokifanya ni kutafuta watu wepesi (cheap Tanzanians) kama boda boda...afu anasema boda boda oyeee! hivi katika karne hii unaweza kumwambia kijana wako kwamba bodaboda oyee??? kwamba tutafanya harambee hili kuongeza bodaboda? hii si sawa sawa na kuwambia wanafunzi kwamba tutaleta div. 5 hili kila mmoja ashinde ifikapo 2015? Huyu anaonga watu kwa njia ya kisasa. Anacheza na mawazo yao kwa sababu watu wenyewe hawajitambui. Dawa ya umaskini sio kumugawia kila mtu hela au gari au nyumba. Hili si tatizo letu Tanzania. Tatizo ni kwamba watu wachache, akiwemo yeye Lowassa, wanaliibia taifa na hivyo tunakosa maisha bora, yaani shule za kuandaa vijana kujitegemea, hospitali safi, barabara na matokeo yake tunakuwa na jamii ilojaa div.5 au madreva wa bodaboda...ambao Lowassa anawapenda (kwa mujibu wake). Huu ni ujinga at its best. Lowassa anatoa rushwa kwa watu cheap.
Nakuhakikishia watanzania mkifanya mistake, Lowassa atawafanya mumuone Kikwete kama geneous. Mkataeni haraka.
Nahisi anapoteza fahamu akiwa anaongea...angalieni video yake (bodaboda). Huyu mtu anahararisha umaskini.
Mandela pia ameshawahi kuitwa msaliti.
Mkuu vipi kuhusu Richmond? au ndio imeshasahaulika tena ule mkataba wa kifisadi uliokuwa engineered na Mh.Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Ndiyo upumbavu tulionao sisi watanzania, nimeamini akili ya kufikiri au kutizama mbali hatuna kabisa. Nakumbuka kipindi kile wakati Lowasa natuhumiwa kwa masuala yake ya rushwa mpaka akifikia hatua ya kujiuzulu karibia asilimia yote ya watanzania tulimchukia sana huyu muheshimiwa na tliunga na kufurahia ile kamati ya akina Mwakyembe ya kufichua mafisadi. Nashangaa leo tena hata sijui inatokea wapi nakuta watanzania tunatokea kumpenda Lowasa na kuona kama ndiye mkombozi wetu, hivi najiuliza huyu jamaa kuna kitu gani ameifanyia nchi mpaka inafikia kupendwa kiasi hiki wakati tulimchukia sana ?. Nkumbuka pia Jakaya tulimpenda sana na tukaona ndiye atakuwa mkombozi wetu lakini leo hii hatutaki hata kumskia jina lake kwenye maskio yetu, hii kitu ya kumpenda mtu kulingana na uwezo wake kifedha, muonekano wake ya kimaumbile, dini yake na hata kabila ndiyo vigezo ambavyo watanzania wengi wapumbavu, wasiojielewa, wasiokuwa na future pia wavivu kufikiria ndio wanavitumia katika kumchagua mtu awe kiongozi wao bila kujali vile vigezo stahiki ambavyo mgombea yoyote wa uongozi awe navyo. Sisemi kama Lowasa anataka kugombea ila nimefikiria mbali kidogo kwamaba endapo itatokea huyu jamaa akasimama kwenye uchaguzi nina uhakika atashinda tu maana ameshateka wapumbavu wengi na ndio ambao wengi wana kadi za kupigia kura
wewe usiongelee watanzania wote, sema ulimchukia sio watanzania walimchukia. Halafu kutuhumiwa sio kosa. Akisimama atashinda sio kwa sababu ya pesa yake bali ni kiongozi pekee anae kubalika kwa takriban watanzania wote hata kwa wapinzani. Hivi umewahi kuwasikia cdm wakimsema vibaya huyu jamaa?au na wao hawasemi kwa sababu ya pesa yake?
Mkuu vipi kuhusu Richmond? au ndio imeshasahaulika tena ule mkataba wa kifisadi uliokuwa engineered na Mh.
Una macho lakini u kipofu. Nina maswali machache kwako, hivi ukaribu na jamii ulikuwa wapi wakati anasign deal ya Richmond? Hizo harambee mbona zimeanza sasa hivi na yeye amekuwa serikalini toka mwanzo? Unatatua matatizo ya watanzania kwa harambee? Ni lini ataitisha harambee ya kurudisha hela ya watanzania hasa ya deal ya Richmond?tatizo la baadhi ya watanzania wanapenda kusikia ubaya wa mtu zaidi! Na ndo maana ukimwita mtu mwizi watu wanaanza kumshambulia bila kuuliza kaiba nini!
Ni ukweli kwmb lowasa anakubalika sio kwa sababu ya pesa alizo nazo bali ni kwa sababu ya uwezo wake wa kutumia kipaji alicho nacho kuwa karibu na jamii. Mimi binafsi bado natafakari hivi hao wengne wanaotajwa kuwa na uwezo wa kugombea mbona hawaonekani kuisaidia jamii tena wngne wako madarakani km mawaziri.? Watanzania wanahitaji watu wakuwaongoza katika kutatua kero zao. Mfano tajiri km bowe anashindwa kufanya harambee za kimaendeleo badala ya kuitisha maandamano na tukamkubali?!
ujembe wake ni kuwanunulia wote t-shirt? kwa hela za wizi
Lowasa ni sawa na mmea huu chini:
View attachment 128180
Una macho lakini u kipofu. Nina maswali machache kwako, hivi ukaribu na jamii ulikuwa wapi wakati anasign deal ya Richmond? Hizo harambee mbona zimeanza sasa hivi na yeye amekuwa serikalini toka mwanzo? Unatatua matatizo ya watanzania kwa harambee? Ni lini ataitisha harambee ya kurudisha hela ya watanzania hasa ya deal ya Richmond?
Ndugu yangu, tatizo la nchi yetu si kwamba hatuna harambee za kutosha au matajiri hawachangi. Tatizo ni viongozi wachache, Lowassa akiwemo wameliibia taifa na hivyo tumebaki maskini. Sasa wanakuja na hela yetu hiyohiyo kama kutukomboa (harambee). Wanategemea watu kama wewe...wasiojielewa kuwapa support. Warudishe hela za Richmond, madini na waache kuwapa madawa vijana wetu hili wawauzie nje. Nakuhakikishia wakifanya hivyo, hatutahitaji harambee hata moja.
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
We jamaa usitudanganye lowasa haku sign deal ya richmond..aliwajibika kwa namna mchakato ulivyoendeshwa..mkuu wako..ukitaka jua uwezo wa lowasa angalia kipindi chake xha uwaziri mkuu nchi ilikua vp...na kama unadai ni fisadi leta data za ufisadi wake sio porojo tu..jamaa ni jembe na unao uwezo wa maamuzi ambao mkuu wenu hana..na km akiwa na afya njema nn hakika akigombea anapata sio kwa sababu anapendwa bali anaweza.