JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 227
- 142
Inasikitisha sana kuona vijana wanaojiita wakisasa wajanja na wasomi kwa kutaka mabadiliko kwa kuisapoti ukawa hasa hasa hasa hasaaaa Lowassa na wezi wenzie walotoka CCM.
Ukweli ni kwamba Sumaye na Kingunge wameona CCM imeanza kuzima mashimo ya wezi hivyo NATO wakaamua kutimkia aliko mwizi mwenzao.Wakitumai huenda akashila dola na waendeleze michezo yao michafu.Afu kijana anaejiita msomi na mjanja anataka mabadiliko kupitia watu hao.
#WALIOPOSIWATAKININAOTAKANIWAPESIWAAMINI
Sent from my TECNO M5 using Tapatalk