Hii habari niliiona kwenye gazeti la DIRA toleo la jtano last week kama sijakosea. Ni kwamba Fredrick alikuwa na washkaj zake kule AR kwenye hotel ya Mount Meru (sina uhakika na hotel name) ila ilikuwa hotelini wanapata kilevi na mara akapita jamaa mmoja wa UWT Arusha ambaye maisha yake ya starehe yanategemea mfuko wa Fredrick (huwa anawekwa mjini na mtoto wa EL) kwa hiyo ni washkaj.
Kwa kuwa FL alishalewa akaanza kumkunja mshkaj kuwa anaandaa njama za kumuua mdingi wake (EL). Ilitokea zogo pale ikabidi jamaa wa UWT akimbilie kufungua file pale Arusha Central. Huku FL alitoweka na akazima simu zake zote kwa kuogopa hiyo issue kuwa kubwa na kutafutwa maana alijua EL hatafurahia hizo habari na ingembidi mwanae atoe ushahidi polisi kwa aliyoyasema.
Japo habari zinasema pale AR familia ya EL inaogopwa kama mafuriko ya jangwani na hakuna mtu wa kuwagusa na ndio maana FL hajatafutwa na polisi na hiyo issue haijasikika tena.
Mkuu,Mkuu kama nakuelewa unachosema ni kuwa Fedriki Lowasa Amedai kwa baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Idara ya Usalama wa Taifa ina Njama za Kumuua Baba yake EDUWADI LOWASA Mbunge wa Munduli, Waziri mkuu Aliyejiuzulu baada ya Sakata la RICHIMODI?
Unataka tuelewe hivyo? Tutajie baadhi ya Magazeti yenye Taarifa hizo.
Haya bwana siku fisi akilalamika kuhujumiwa na mbuzi anza kuvunja zizi
EL ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hivyo TISS iko chini yake unless ni covert oparation kama walivyonfix Imran Kombe!.
alot of kujichanganya apa mbona mnarukia yale (majamaa machakachuaji ya kura tunazopiga) mashushushu ya pale makumbusho kwa nyuma (uwt) why not... Umoja wa wanawake tanzania, umoja wa walimu tanzania au usalama wa taifa, ebu weka vizuri tutoe pwenti zetuaisee..... Sasa mbona kuna watu wanasema yeye ndio anataka kuua wenzake?? Au ndio political games?
thanks pasco, kwa weledi na upeo wako, we unadhani likelihood ya hilo kutokea yaweza kwenda percentage gani?
Haya bwana siku fisi akilalamika kuhujumiwa na mbuzi anza kuvunja zizi