Lowassa: Acha wafu wazikane wenyewe, wametunyima uwanja lakini Majengo kumenoga zaidi

duh msiba umenoga?
Mzee Ndesa Pesa amevipiga VITA vizuri, mwendo ameumaliza na IMANI ameilinda. Kumbuka hiyo ndiyo ilikuwa sherehe yake ya mwisho hapa duniani. Wengi tumesikia kilichofanyika kuviza hewa ya kumsindikiza mahali anapostahili.

Kwa ujumla kaagwa kwa Amani bila hofu kubwa. Namna hii Imani na Amani aliyoijenga katika jamii imetamalaki kwa mapenzi ya Mweza wa yote.

Apumzike kwa Amani Philemon Ndesamburo.
 
Huyu mzee anatafuta kunoga msibanI

CHADEMA Imekufa hakyaMungu

Hivi zee kama lowasa mnaling'ang'ania la nini?
Mbona uwo msemo ni kama kajisemea wao? Sad walahi! Acha wafu wazikane wenyewe! Eeeeee
 
Of course mazishi yamenoga, maana haukuwa msiba kwetu wapambanaji bali ni sherehe tuu tukisherehekea mazuri aliyoyafanya shujaa wetu Hayati Ndesamburo. Na watu wameitikia kwelikweli kumuaga shujaa wao. ASANTE MZEE NDESAMBURO KWA YOTE. PUMZIKA BABA
 
Kwa mazuri aliyofanya mzee Ndesamburo na kwa umri mkubwa aliopewa na MwenyenzI Mungu kifo mazishi yake siyo tu yalipashwa kunoga ila na disko lingepigwa mzee kaacha legacy ya aina yake ambayo kwa chuki wizi na ubinafsi wa wengi wetu ni ndoto kuenziwa
 
Hivi wewe ukiulizwa yale mafisadi na majizi yaliyosaini mikataba feki ya madini na ambayo ni makada ya ccm Taifa huwa mnayang'ang'ani ya nini?
Mbona una akili ndogo kiasi hicho?

Lowassa na Sumaye ndio hasa wahusika wa hiyo mikataba, na mmewakumbatia huko.
 
Kwanza nisema mimi sina chama.

Lowassa kasema pamenoga, na siku zote tunapenda sherehe inoge.

Kuna sherehe ya kuzaliwa
Sherehe ya kuoa /kuolewa
na Sherehe ya kufariki.
Lowasa kaamua kufanya sherehe kifo cha mzee Ndessa...kachangia sh ngapi?
 
Akiwa leo viwanja vya makumbusho Mh Edward Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu Chadema amesema hayo pamoja na kwamba wametunyima uwanja lakini hapa majengo kumenoga zaidi na kusema kwamba
"waache wafu wazikane wenyewe....."



Duh! Hivi hawa watu hata wanaelewa maana ya neno msiba? Sasa msibani patanoga vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom