Na nyie mlituletea wendawazimu tukawavumiliaHuyu mzee anatafuta kunoga msibanI
CHADEMA Imekufa hakyaMungu
Hivi zee kama lowasa mnaling'ang'ania la nini?
Na nyie mlituletea wendawazimu tukawavumiliaHuyu mzee anatafuta kunoga msibanI
CHADEMA Imekufa hakyaMungu
Hivi zee kama lowasa mnaling'ang'ania la nini?
Mzee Ndesa Pesa amevipiga VITA vizuri, mwendo ameumaliza na IMANI ameilinda. Kumbuka hiyo ndiyo ilikuwa sherehe yake ya mwisho hapa duniani. Wengi tumesikia kilichofanyika kuviza hewa ya kumsindikiza mahali anapostahili.duh msiba umenoga?
Mbona uwo msemo ni kama kajisemea wao? Sad walahi! Acha wafu wazikane wenyewe! EeeeeeHuyu mzee anatafuta kunoga msibanI
CHADEMA Imekufa hakyaMungu
Hivi zee kama lowasa mnaling'ang'ania la nini?
Wamekosa rambirambi za kuiba.Mmekosa pesa za rambirambi
OvA
Hawa watu Wana roho mbaya sana na hawana shukuranMzee Ndesamburo aliwahi kutoa Pikipiki 20 Kwa jeshi la Polisi leo ananyimwa uwanja
Kufa Kunoga ndio sera mpya ya chadema...Mmekosa pesa za rambirambi
OvA
Mbona una akili ndogo kiasi hicho?Hivi wewe ukiulizwa yale mafisadi na majizi yaliyosaini mikataba feki ya madini na ambayo ni makada ya ccm Taifa huwa mnayang'ang'ani ya nini?
Lowasa kaamua kufanya sherehe kifo cha mzee Ndessa...kachangia sh ngapi?Kwanza nisema mimi sina chama.
Lowassa kasema pamenoga, na siku zote tunapenda sherehe inoge.
Kuna sherehe ya kuzaliwa
Sherehe ya kuoa /kuolewa
na Sherehe ya kufariki.
nyie sera zenu za kula rambi rambiKufa Kunoga ndio sera mpya ya chadema...
wazee wa kufa kunoga!!Duuh !!
Akiwa leo viwanja vya makumbusho Mh Edward Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu Chadema amesema hayo pamoja na kwamba wametunyima uwanja lakini hapa majengo kumenoga zaidi na kusema kwamba
"waache wafu wazikane wenyewe....."
Sera yenu mpya ni kufa kunoganyie sera zenu za kula rambi rambi
Ova
Tutaipeleka michango kwa mafisiem wakajenge barabaraLowasa kaamua kufanya sherehe kifo cha mzee Ndessa...kachangia sh ngapi?
Utaelewa siku ukifiwaDuh! Hivi hawa watu hata wanaelewa maana ya neno msiba? Sasa msibani patanoga vipi?