Lowassa aamua kuingilia kati Arumeru

Lowassa aamua kuingilia kati Arumeru

Status
Not open for further replies.

NGONYA NM

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
39
Reaction score
15
Baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani kwake monduli.hii ni ktk kuweka mazingira sawa. Ushauri kwa washili simamen ktk majukumu yenu achaneni na siasa zakupendelea ccm iliyokosa dira. Source: rafiki wakaribu wa nywele nyeupe.
 
kuna tetesi kuwa alionekana maeneo ya nkuaranga ambapo ni kambi muhimu ya nassari.huyu mtu ni very strategic lakini hajui kwamba watu wamepanga kula hela za ccm kiroho mbaya halafu tarehe mosi wanawarudisha nyavuni.
 
baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani kwake monduli.hii ni ktk kuweka mazingira sawa. Ushauri kwa washili simamen ktk majukumu yenu achaneni na siasa zakupendelea ccm iliyokosa dira. Source: Rafiki wakaribu wa nywele nyeupe.

clap clap clap :a s 41::a s 41::a s 41: Naunga mkono hoja asilimia 100 kwa 100!!!
 
Hon. Edward Lowassa is a gifted leader.Hapendi siasa za majitaka
 
Baada ya kuona jahazi linaelekea kuzama hatimaye mh lowassa ameamua kuingilia kati,habari za kuaminika zinasema kwamba yupo kwenye mazungumzo mazito na wazee wa kimila wa arumeru(washili)nyumbani kwake monduli.hii ni ktk kuweka mazingira sawa. Ushauri kwa washili simamen ktk majukumu yenu achaneni na siasa zakupendelea ccm iliyokosa dira. Source: rafiki wakaribu wa nywele nyeupe.
Nywele za fedha.
 
Fisadi lowassa,mwizi lowassa,izo mbinu ni monduli 2 kwa wajinga
 
Nawa akikishia LOWASA nimtu mbaya sana yupo tayari watu kufa CCM itangazwe imeshinda atakama haija shinda huyu jamaa niuuaji,kama mnabisha tuombe uzima,2015.
 
Nawa akikishia LOWASA nimtu mbaya sana yupo tayari watu kufa CCM itangazwe imeshinda atakama haija shinda huyu jamaa niuuaji,kama mnabisha tuombe uzima,2015.

waambie wapige simu senegal watapewa majibu mazuri
 
Ni kweli washili walikuwa kwa EL na karibu washili wote ni makada wa ccm ila kwa hapa meru ccm maji ya shigo lol..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom