Lowassa aamua kuingilia kati Arumeru

Status
Not open for further replies.
Watafanya sana vikao lakini haitasaidia kitu.Ubabe wa Goliath ulizimwa na mfalme Daud.Nguvu ya umma ni sauti ya Mungu,nusura ya Mungu imewadia japokuwa Shetani hujikongoja na kuonyesha kutokubali kushindwa.Udhalimu,ufisadi na uzandiki vimefika kikomo chake.Haki ya mtu haiombwi kama kipande cha mkate,ni suala la wakati tu.Ushindi wa Arumeru ni Ishara ya mabadilko kuelekea ushindi thabiti toka mikononi mwa wakoloni weusi.Na bado uzee wa simba si ujana wa fisi,kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Mikutano ya ndani ruksa na inaruhusiwa kisheria mbali na mikutano ya hadhara. Lowassa bado ni mwanaCCM ana nafasi yake katika kupigania ushindi wa chama chake. Kama kuna jingine ndani ya vikao hivyo ndio neno la kutuambia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom