LOWASA-sitashindwa; SAMWELI SITA-sitakubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOWASA-sitashindwa; SAMWELI SITA-sitakubali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Think, Aug 9, 2012.

 1. Think

  Think Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

  mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

  sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Money talks! Au co the 1 with a lot of money is going 2 win.
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  nimejishauri sana kuchangia hii kitu, ila roho inanisuta maana naona kama hainihusu vile!!! ok, anyway, ngoja japo nikunong'oneze tu.

  ni hivi mkuu "hakuna jipya kwenye ccm, ni yale yale tu, uozo uozo uozoooo! hawa watu walishakula nyama ya binadamu, kamwe hii dhambi hawataiacha. yaani hii ilishakuwa ndo mfumo wao wa maisha, haramu haramu haramu"
   
 4. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama huu uzi utapata contributions za kutosha. Wote wapo msitu mmoja, hata kama ni tumbili na ngedere.
   
 5. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mmh!sio kila uchaguzi money talks,mfano hai ni ar.....ru mashariki,au mara hii umeshasahau!
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Vita yao itaishia kwa mmoja wao kuwa mgombea urais, 2015.
  But That is as far they will go.
  Mgombea Urais.
  When finally the country will be rescued from their filthy hands,
  Back to them Pipooooooooooooooooooooooooooooozzzzzz........................................................
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Wacha Wafu wazikane wenyewe.
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,285
  Likes Received: 808
  Trophy Points: 280
  Hayatuhusu waacheni hao Vijana wazile hizo pesa wao ndio wanaojua watampa nani, Pia uchaguzi wa Urais ni Mkutano mkuu wa chama husika na hapo ndo jina linaletwa kwenye Tume ya Uchaguzi kupigiwa na sisis wote
   
 9. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo bado nawe una imani kuwa atakayepitishwa kuwa mgombea wa ccm ndo kashashinda??
  shame on u.... wacha wamwage pesa ila c lazima wawe marais
   
 10. b

  boby v Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waachewm wagombane wenyewe lakin mwisho wa siku ni PEOPLE'S POWER It's wenner.
   
 11. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Very rare m2 wang kwenye 10 bac hutokea mara 1.
   
 12. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kupata cheo ccm ni sharti utumie pesa na mfumo wao ndiyo ulivyo.tuwaachie wao wenye chama
   
Loading...