LOWASA ndio chaguo bora 2015.

LOWASA ndio chaguo bora 2015.

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Nitajitahidi kumnadi kwa nguvu zangu zote, najua amezushiwa maana
baada ya kuondoka madarakani mambo yamezidi kuharibika. Kuna mambo
machache nitamuuliza kuhusu zao la korosho akinijibu nitamfanyia kampeni
za chini kwa chini kadri ya uwezo wangu. Nitaunda kikosi kazi kizuri
sana kumnadi vijijini.

NINA IMANI NA MUHESHIMIWA LOWASA ANAWEZA NA NI MCHAPAKAZI.
 
EL amekaangwa na kukaangika kwenye kikaango kikaangizi atakukaanga
 
Kama sio Lowassa basi ni nani ccm ?
... Lowassa ndie pekee anafaa na kukubalika katika jamii tangu na tangu !
 
EL elimu bora kwa wa TZ inawezekana maji safi inawezekana
ku stabilize uchumi inawezekana, kupambana na majangili inawezekana.....
EL I KNOW U CAN
 
Duuh. Hivi uko serious? una uhakika na zile korosho zetu tunazodhulumiwa
kila siku kutakuwa na usalama kweli si ndo zitachukuliwa zote kabisa?
 
Mkuu nimemfuatilia EL nimegundua kuwa ana shauku kubwa ya kuingia IKULU
na kikubwa anachokitamani ni kuwaonyesha Watanzania kuwa ni kweli alionewa
hivyo nina imani sana na ahadi zake, TUACHE POROJO HUYU JAMAA ANATUFAA.
 
EL elimu bora kwa wa TZ inawezekana maji safi inawezekana
ku stabilize uchumi inawezekana, kupambana na majangili inawezekana.....
EL I KNOW U CAN

Haya maneno yanawanyima usingizi. Nape. Sita. Mwakyembe siku hizi amepunguza kelele. na mzee wa tembo mhe kinerner
 
Nitajitahidi kumnadi kwa nguvu zangu zote, najua amezushiwa maana
baada ya kuondoka madarakani mambo yamezidi kuharibika. Kuna mambo
machache nitamuuliza kuhusu zao la korosho akinijibu nitamfanyia kampeni
za chini kwa chini kadri ya uwezo wangu. Nitaunda kikosi kazi kizuri
sana kumnadi vijijini.

NINA IMANI NA MUHESHIMIWA LOWASA ANAWEZA NA NI MCHAPAKAZI.

Unaongelea awe rais wa nchi ipi mkuu??
 
Heshinu MTU was maamuzi magunu ndio maana waliopo wanahaha wakiogopa akiingiA anaweza Fanya maamuzi mazito zaidi
 
Nitajitahidi kumnadi kwa nguvu zangu zote, najua amezushiwa maana
baada ya kuondoka madarakani mambo yamezidi kuharibika. Kuna mambo
machache nitamuuliza kuhusu zao la korosho akinijibu nitamfanyia kampeni
za chini kwa chini kadri ya uwezo wangu. Nitaunda kikosi kazi kizuri
sana kumnadi vijijini.

NINA IMANI NA MUHESHIMIWA LOWASA ANAWEZA NA NI MCHAPAKAZI.

Vijisenti mkuu umepotelea wapi ? kwenye kumbi za starehe siku hizi sikuoni kulikoni. massage sijui unafanyia wapi ? Mhe Chenge mb. sio vizuri kupotea sana. jana nilikua na best wako Wasira tulikudiscus sana wewe na mhe. Juma Kapuya
 
Ha ha ha ha Mimi sio yule bana.
 
Lowasa anaweza sana, kurudisha nidham ya uwajibikaji sehemu za kazi.Pia tuna muomba akiingia magogoni ahakikishe tembo wetu hawauwawi pia wabeba mabox wote wanafilisiwa.Lowasa tupo na wewe
 
Mlio changia uzi huu wote nami naungna na nyie,lowassa hakunaga!!ndilo shoka lililobakia
 
Wengi wenu mna akili za paka....mnasahau baada ya sekunde.
 
Back
Top Bottom