LOWASA ndio chaguo bora 2015.

LOWASA ndio chaguo bora 2015.

Nitajitahidi kumnadi kwa nguvu zangu zote, najua amezushiwa maana
baada ya kuondoka madarakani mambo yamezidi kuharibika. Kuna mambo
machache nitamuuliza kuhusu zao la korosho akinijibu nitamfanyia kampeni
za chini kwa chini kadri ya uwezo wangu. Nitaunda kikosi kazi kizuri
sana kumnadi vijijini.

NINA IMANI NA MUHESHIMIWA LOWASA ANAWEZA NA NI MCHAPAKAZI.

Asipotuambia Richmond ni ya nani mimi sitamwamini.
 
Sioni mwenye uthubutu zaidi yake ndani ya Chama Chetu Muafaka.
 
Sioni mwenye uthubutu zaidi yake ndani ya Chama Chetu Muafaka.

Hakuna mwenye guts za kuibia nchi kama huyu! Inshallah this time Rais atoke Zanzibar..... Bara imetosha sasa!
 
Jibu la richmond wanalo waliompeleka Obama pale kwenye mitambo? Lowassa wanini?
sasa Lowassa anataka Urais wa nini km tu anajibiwa na waliomleta Obama?
Mangula keshasema OUT
JK alimtoka katika Central Commitee ya Chama
Hivi atagombea kupitia Chama gani ?
Mtayarishieni hiyo Katiba agombee km BINAFSI
umpe kura zenu
Huyu Mtu hafai HAFAI na Arusha wanamjua akaulize kule kwa Mkwe wake alivyofanywa na Nassari (Dogo Janja) akapewa jina la kubwa jinga (mamvi)
 
Watu wengine akili zao sijui zimekaa huku!Matatizo ya umeme na gharama zake amesababisha yeye Lowassa. Kwenye orodha ya wauza unga ni mjumbe mzuri na hela anazotoatoa bosi wake ni muuzaji wa unga huko Marekani. Acha bange zako bana kwani hatujui uozo wake?
 
"Tulifurahi pamoja, Tulihuzunika pamoja na Tutashinda pamoja” - Edward Ngoyai Lowasa.
 
Wengine chuki zao haya najua leo mnamtukana yeye ni President 2015 .Hadithi ya kufa kwa kiongozi ,hakuna wa kuziba pengo na alikuwa mtu mpole msikiifu kwa hakuna mfano wake .2015 mtamsifia tu mkitaka msitake ndio rais wa ccm.
 
Huo ni mtazamo wako tena wa wachache wengi tunaamini mgombea muungwana hajapatikana tanzania tufute subira Jamani tutapata raisi mtiifu kwa Wananchi
 
Kaka jitahid unapoandika maada toa hoja zenye MASHIKO nimeipitia thread yako inayokwenda kwa jina la LOWASA NDIO CHAGUO BORA 2015 Lakn haujanyumbulisha ubora wake.Ulichoandika n upandikiz 2 MSIVAMIE SIASA MAANA ZINAWENYEWE
 
Lowassa ndiyo chaguo la watu tusichague watu dhaifu kama jk tena,jk mnafiki alisema hadharani haijui richmond,kaja obama na hillary clinton wote.kawapeleka pale kwenye mitambo au anadhani watz wana akili za hovyo,cha msingi kikwete aondoke tu anatupotezea mda akafanye u brother men mtaani,watz tukubali kuwa 2005 tuliingia choo cha kike,miaka 2 ya uongoz wa el ulificha udhaifu wa jk
 
Back
Top Bottom