Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
The director of siphoning our Economy and transferring it abroad, money laundering that's your Boss!!!!!!Offer him the Presidency Tanzania will be finished, bankrupt within a twinkle of an aye!!!!Lowassa ndie rais wetu 2015, he is the development dictator and thats the kind of man we want kwa Tanzania ya leo!
Sawa wewe ulitegemeaje? ingekuwa ni wewe kweli usingempigania kwa hali na mali MKWE wako ili apate ulaji na wakati huo huo awe ni mtaji katika harakati zako za baadaye? Au hukujua kama ni mkwewe!inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Atakuwa ni wa kwako na Mkeo!Lowasa ndio rais wetu mtake msitake...
Lowasa ndio rais wetu mtake msitake...
Lowassa anasubiri kuapishwa tu kuwa rais wa JMT.Slaa anajua hilo
Ndoto za Batilda Burian na jimbo la arusha mjini ziliyeyukia wapi???
Sioi ndio mbunge wa Arumeru hata CDM wanalijua hilo, anasubiri kuapishwa tu
Naona kichwa kimeanza kukuuma ongeza tena kumeza panadol ziwe nyingi vinginevyo utazimia!!!!!!!Jamani CCM inashinda Arumeru tena ushindi wa kishindo kama Uzini msiyopenda pigeni porojo mwisho wa siku mtaona mlibisha sana kuhusu jimbo la Uzini mwisho wa siku mmekaa kimya kama jibaba lililofumaniwa na mke wa mtu!