THE STRONG
Senior Member
- Jan 21, 2012
- 107
- 20
God bless Lowassa, our choice for presidential post 2015.
u b..ch shut the f...ck up ...president wa mkeo
God bless Lowassa, our choice for presidential post 2015.
Lowassa anasubiri kuapishwa tu kuwa rais wa JMT.Slaa anajua hilo
Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?
Lowasa ndio rais wetu mtake msitake...
Lowasa ndio rais wetu mtake msitake...
We Zero Brain huyo Lowasa anakulipa shilingi ngapi???? Maana naona una moto saana kutetea kila analofanya boss wako!!!! Basi sasa amekosea itakuwa kama Arusha mjini jimbo ni la CDM, UPO????Hata CCM Mkoa wa Arusha wanalijua hilo ni wewe tuu umelala!!!Sioi ndio mbunge wa Arumeru hata CDM wanalijua hilo, anasubiri kuapishwa tu
Wewe ni mtu wa ajabu saana hapo CHADEMA imetoka wapi????? Unalala unaiota CDM nini, ngoja 2015 utajua CHADEMA NI NANI!!!!!Kuna sehemu nimesema Chadema ni waongo kupita!
Acha mambo ya Kingesengese hapa wewe.
Hawa wana Arumeru waambiwe kabisa wasikubali mtu yeyote anaye nunu au kuweka rehani cheti cha mpiga kura!!! Hata kama anakupa TSHS NGAPI KATAA KABISA, usiuze kura yako ni muhimu kuchagua umpendaye!!!!!nawashauri wana arumeru,kila atakayeleta pesa kuleni,kunyweni ila kura yako umpe umtakaye . Hata ilemela walifanya ivo,ila matokeo halali yakaja vizuri. jaman kula iyo ela,ila kura itunze wana arumeru!
Wasi wasi ni watu kuwekeza vyeti vya mpiga kura au kuvinunua, Wana Arumeru waambiwe kabisa wasiuze vyeti vyao kama Igunga, hizo mbinu za CCM zinafahamika!!!! Takukuru waingie kazini wazuie watu kununa vyeti vya mpiga kura!!!!!Tangazo lipite kuwa kuuza au kuweka rahani cheti cha kupigia kura ni kosa la jinai!!!!Hata arusha mjini alimwaga hela za ukwel bado mama alipigwa chin..waliokkuwa arusha kipindi kile usingetarajia lema anjemshinda..alihonga vijana wengi ila jion wako na lema...haya yatamkuta sioi wa lowasa
Umevuta ngapi mkuu naona uko nyuma ya huyo Bwana EL na fix zake??????Nimeipenda sana analysis ya hapo juu.Ni kweli siasa za Meru ni tofauti kabisa.Huwa wanamchagua mtu wanayempenda bila kuangalia sana nani yuko nyuma yake.Kama hawajaridhika na kiongozi wao basi watamuondoa bila kuangalia anatoka chama gani au nani yuko nyuma yake.Meru people dont vote gladly for fools,identity issues infuence the vote and we should not undermine that.The church,the age group,wealth,education(offspring of elite) and natural charisa come into play.Remember no one has ever taught this people how to behave.They know practicaly everything.This makes Arumeru to be one of the polical troublesome area.One who will be able to provide solutions to currennt Meru Problems like land shortage,water projects,health services,improved dairy projects and create lucrative employment opportunities stands a good chance.Hakuna cha EL wala nini Sera tu.Ushindi haupatikani kwa maandamano,good strategy which will adress the people problems.Dont be surprised Sioi akishinda kama ana Sera nzuri
Lowassa anasubiri kuapishwa tu kuwa rais wa JMT.Slaa anajua hilo
Haya sasa na wewe unakuja na hadithi au sera gani tena, huchoki kuchomekea?????Absolutely, thats why watanzania walikataa mtu kwenda Ikulu na MKE WA KUAZIMA.....