Lowasa na uchaguzi Arumeru

Lowasa na uchaguzi Arumeru

Acha uppuzi bwana mdogo, unamaana gani MASHUHUDA WETU WA SIRINI, au ndo unatuletea habari zenu za TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA.. Be critical, otherwise keep quiet, sio lazima kuchangia
acha kukatisha vijana tamaa, wako kitaifa zaidi, nyie mliohongwa na akina lowasa siku zenu zinahesabika. taifa kwanza!!!!
 
Kama alitoa 1 billion ni kama 2,500,000 kwa wpiga kula kwenye vikao vya ccm, assume awe amewahonga wajumbe 400 tu
 
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Kuna sehemu nimesema Chadema ni waongo kupita!
 
Mkuu Tshs. 1b kweli kwa Arumeru tu? Kila mpiga kura alipata kiasi gani? Mimi najua takrima za kitanzania huwa ni 5000 ikizidi sana 10,000.00. Kwa billion moja mbona atakuwa amemlipa kila mwananchi wa Arumeru na chenji kurudi?

Siku ya kura za maoni kila mjumbe alilamba 150000, sasa sijui huko mtaani waligawana ngapi
 
Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?
Myisanzu, siyo chuki binafsi, ni woga wa kweli kabisa kwa hawa wana chadema kwamba, it is only EL whom they consider to deny Chadema entering Ikulu, come 2015! Katika mazingira hayo, hata wewe ungefanya hivyo ungekuwa huko!
 
huna jipya MAUNDUMULA jilalie lowasa lowasa what next????hata home kwako inaonesha yet u discuss Lowassa,nonsense,,
 
Hivi hakuna binti mwingine aliyebaki kwa EL nami nikachumbie naweza kuwa mbunge ati
 
...kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Duh! 1 billion wale Wameru na Wamasai hawawezi kuzimaliza itabidi nihamie huko kwa muda niwasaidie kutumia aisee!
 
Yap! Ndiye anayemliza binti wa Edward Ngoyai Lowassa Ndossi

Na haya ndiyo majina yake halisi,sijui kwa nini anaficha hili la ndossi?au ni ili aendelee kuwahadaa wamasai nini Mungi?
 
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi

Mlioko TRA kama ni kweli mwanasiasa anaweza kutupa 1 billion; kodi analipa? TRA jaribuni kuweka mazingira ya kuwashindanisha wanasiasa kwa kulipa kodi na si katika michango isiyo natija na maendeleo ya pato la Taifa
 
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi

Mwache mzee wa watu, huu sasa ni udaku.
 
Back
Top Bottom