LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA

Ungekuwepo maeneo ya Kikatiti leo usingesema uyasemayo. EL kautubia watu kiduchu wakiwepo waliotoka Monduli kama ilivyo ada kwa ccm kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza mikutano yao.
BAada ya kampeni alizomewa vibaya na wananchi wa Kikatiti, askari ndo waliomwokoa kwani ilibidi waingilie kati na msafara ukarudi usa river.

Chini ni baadhi tu ya picha za zomeazomea hizo
View attachment 50546
View attachment 50549
View attachment 50550
View attachment 50551

Msafara wa EL wakitoka kikatiti kabla ya zomeazomea
View attachment 50552

Watoto wakuandamana kuunga mkono zomeazomea hizo
View attachment 50554

Kijana unapotosha watu hivihivi hapo sio patandi, patandi kulikuwa na umati umati mkubwa saana,afu mnafanya usanii kwenye picha za ccm mnachukua picha sehemu za pembezoni au sehemu zamwisho mwisho kwenye msafara kuonyesha eti watu wachache! mbona hampigi picha mwanzo wa msafara au kupiga picha kutokea kwenye jukwaa kuu kuonyesha umati wa watu ulioudhuria! endeeleeni kuwajaza uwongo wanachama wenu

Asante Makene tuko pamoja

attachment.php

Magamba hawawezi kutoa picha kama hii, watajitahidi kutoa picha ambazo hazina uhalisia.

Wewe ni mbea sana wewe, sijui ni mzee au kijana ni mnafiki sana wewe, wewe ndio umetoka kurusha picha za lowasa kwenye post ingine uko wakati unafahamu kabisa picha zile ni za kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa nini watu wengine mnapenda kula bila kutoa Jasho.

Wewe unadhani utaishi kwa kudanganya danganya mpaka lini??
 
Ushasahau kuwa hili ni gamba? Ati 'ataandamana na Sioi mpaka kwa Waziri wa Ardhi blah blah blah'. Kwa nini hakuandamana naye siku zote? Si mkwewe?
 
Hawakumwuliza mvua ya mabomu toka tailand iliishia wapi?
 
[h=6]Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA[/h]

nimeamini wema hawadumu ktk hii dunia! Watu kama ninyi kwa nini mfise mapema? Nasema hivo kwa sababu kuna ndugu zetu wenye machungu sana kulikomboa taifa letu lakini wanakufa kabla ya adhima yao kutokana na ugumu huu wa maisha uliosababishwa na hao viongozi wabovu akina lowasa mnaowashabikia. Mimi naamini anaeitetea ccm ni yule anaenufaika na maovu yao, but time will tell, atajitokeza kijana mwenye machungu sana na atakaesikilizwa na kupewa ushikiano na wananchi kila pembe ya nchi yetu na atalikomboa taifa.let us wait and see
 
Ushasahau kuwa hili ni gamba? Ati 'ataandamana na Sioi mpaka kwa Waziri wa Ardhi blah blah blah'. Kwa nini hakuandamana naye siku zote? Si mkwewe?

Jamaa jiongo mpaka limesahau kusema ni. Arumeru ipi nimepita tengeru sasa hivi magamba wanafanya mkutano hawafiki 20 cha ajabu wamezungukwa na polisi kama 30 halafu kuna chadema takribani 200 wapo wanaushangaa mkutano wa magamba, haijaeleweka ni kwa nini imekuwa hivyo lakini mimi niko kwa bassi la shattle kwa hiyo sikupata muda wa kuchunguza
 
acha presha mambo yote kuwa adharani saa mbili usiku! usikae mbali na tv yako

we unategemea tv wanachakachuwa mpaka mahudhurio picha na maneno haviendani wakati mwingine we angalia watu wanashangilia lakini sura ya aneongea yupo serious..... tukumbushane baada ya kuangalia yaliojiri leo
 
hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA
Ni kweli ni mwanasiasa Maharufu kwa sababu ananuka damu za watanzania kutokana na ufisadi wake. Halafu ni muheshimiwa kwa nani labda mkewe na wachumia tumbo kama wewe. Magamba bwana hovyooooo!!
 
Wewe ni mbea sana wewe, sijui ni mzee au kijana ni mnafiki sana wewe, wewe ndio umetoka kurusha picha za lowasa kwenye post ingine uko wakati unafahamu kabisa picha zile ni za kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa nini watu wengine mnapenda kula bila kutoa Jasho.

Wewe unadhani utaishi kwa kudanganya danganya mpaka lini??

achana na huyo Kashaga moja ya vibaraka wa CCM, na hayupo Tz yupo South Africa maeneo ya soweto anakula vumbi tu!
 
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA

Ungekuwepo maeneo ya Kikatiti leo usingesema uyasemayo. EL kautubia watu kiduchu wakiwepo waliotoka Monduli kama ilivyo ada kwa ccm kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza mikutano yao.
BAada ya kampeni alizomewa vibaya na wananchi wa Kikatiti, askari ndo waliomwokoa kwani ilibidi waingilie kati na msafara ukarudi usa river.

Chini ni baadhi tu ya picha za zomeazomea hizo
View attachment 50546
View attachment 50549
View attachment 50550
View attachment 50551

Msafara wa EL wakitoka kikatiti kabla ya zomeazomea
Picture 040.jpg

Watoto wakuandamana kuunga mkono zomeazomea hizo
Picture 032.jpg
 
Back
Top Bottom