Mbunge wa Monduli , Edward Lowasa ,azidi kujinyakulia sifa za kutosha ikiwa ni pamoja na mtaji wa kisiasa Baada ya kuwaachia Walimu Mamillion ya shlingi kwnye Mkutano wa Walimu ulifAnyika Leo kwnye viwaanja vya Ushirika .Yeye binafsi katoa Tsh 450milln, na Marafiki zake aliofuatana nao kukamilisha salio lilobaki kuleta idadi kamili ya Tsh billion 1 na million mia mbili . Hizi ni kura za kutosha, ukizingatia idadi kubwa ya walimu waliokuwepo kwnye viwanja vya ushirika .
Duh hizo fedha ni kwa ajili ya nini?. Walimu chukueni misaada hiyo lakini ni vizuri kutosahau machungu ya enzi na ambayo hatujui yataisha lini kwa msaada wa siku moja. Hata siku mona kimfaacho mtu ni chake na sio cha kusaidiwa.
Watoe mishahara inayoweza kuwasaidia watumishi wa tanzania na sio kutoa vizawadi vidogo vidogo hali ya kuwa mishahara bado ni duni.
Aibu gani hii kumsifia mwanasiasa wa aina hii
Hizo walimu kuleni lakini msimamo wenu uwe palepale. Hao walimu nao nitawashangaa kudanganyika kama watoto. "Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa kupageuza kuwa pango la walanguzi, Kama amekopa atazirudishaje," (Nyerere)