Lowasa anatisha!!

Lowasa anatisha!!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
El anatishaaa
 

Attachments

  • 1427686274475.jpg
    1427686274475.jpg
    22.9 KB · Views: 1,212
Huyu mdingi anapenda sifa...!!!
 
Sio yeye hiyo akaunti mtu amesajili kwa kutumia picha na jina la Lowassa lakini akaunti yake ya twitter anatumia jina jingine.
 
El anatishaaa
Ndiyo maana huwa nasema siku zote kuwa propaganda za lowasa ni za kitoto. hapo iko dhahiri kuwa mwendesha kipindi na huyo mtoto walipangwa. Toka lini kipindi cha TV cha watoto kikawa cha kisiasa na kutabiri rais ajaye? upuuzi mtupu
 
Watu watachukia sana lakini hii propaganda ya Lowassa inafanya kazi big tyme!!!....popularity yake ilivyokuwa miezi miwili iliyopita ni tofauti na sasa....

wakati mwingine siasa siyo wewe ni kiongozi mzuri kiasi gani, its how you play the game - the propaganda, the timing of your publicity, the strategy - hawa viongozi wetu wa upinzani tunawapenda sana lakini so far wako nyuma kwenye huu mkakati wa urais.
 
Ndiyo maana huwa nasema siku zote kuwa propaganda za lowasa ni za kitoto. hapo iko dhahiri kuwa mwendesha kipindi na huyo mtoto walipangwa. Toka lini kipindi cha TV cha watoto kikawa cha kisiasa na kutabiri rais ajaye? upuuzi mtupu
Wewe mambo yako ndio ya kitoto.. kwa sababu unajudge kwa kutumia akili ya mtoto, Yani kwa akili yako Lowassa ndio aliyeandika hiyo msg?
 
Kwanini watu wanapenda kuwadharirisha wengine? Yaani tangu lini Lowassa akafanya huu utumbo?
 
of course ni habari ya zamani sana kipindi kile hajakatwa.
 
wewe nakupa taarifa,mimi niliuliza watoto watatu kwa siku tofauti,wakwanza akasema lowasa,wa2 akasema magufuli.wa3 akasema lowasa..
 
Back
Top Bottom