Lowasa ampongeza JK, Tanzania kufanya vizuri kimataifa

Lowasa ampongeza JK, Tanzania kufanya vizuri kimataifa

Hivi waziri mkuu mstaafu ambaye alijiuzuru kwa kuliboronga bado anachukua mafao ya kwamba alikuwa waziri mkuu? Je, wabunge kwa nini hadi leo bado wanaendeleza sheria zilizopitwa na wakati wa kuwalipa marais wastaafu pamoja na mawaziri wastaafu ambao katika utendaji wao waliiba fedha za walipa kodi na kuuza mashirika ya umma kwa pesa za peremende?
 
Huu ni uwendawazimu kabisa,hivi kwa akili fupi,ujio wa marais wa mataifa ya nje wanadhani ni kwa manufaa ya Watanzania au manufaa ya nchi zao?eti E.L nae anataka kutuongoza!what a clap!
Manufaa kwa pande zote mbili,inatakiwa tu uelewa katika ku close deal!!!
 
Kumsifia mtu hutokana na moyo wa mtu jinsi gani ameridhika na jambo fulani ambalo mwenzake kafanya maoni ya lowasa kumpongeza jk ni kuongeza nakshi kwenye sifa za jk zilizotukuka.

sifa zilizotukuka au zilizotukuta.
 
sifa za kukejeli na za kipuuzi,wananchi tunaishi maisha ya kuunga unga kama nini,halafu ustadh abdalah anasifia waliokuja kuibia taifa letu,jk na lowasa chungu kimoja....richmond=dowans=mafisadi=udini.

na wana chuki kali za kikabila.waulize wachagga.kuna mchagga kwenye kabineti yao?
 
huu ni uwendawazimu kabisa,hivi kwa akili fupi,ujio wa marais wa mataifa ya nje wanadhani ni kwa manufaa ya watanzania au manufaa ya nchi zao?eti e.l nae anataka kutuongoza!what a clap!
sio nywele nyeupe. Wanamwitaga mamvi au mzee wa richmond.baba wa taifa alituasa"mkichagua vijana hawa watawasumbueni"!kweli mzee kifimbo alikuwa kiona mbali!
 
Huu ni uwendawazimu kabisa,hivi kwa akili fupi,ujio wa marais wa mataifa ya nje wanadhani ni kwa manufaa ya Watanzania au manufaa ya nchi zao?eti E.L nae anataka kutuongoza!what a clap!

Mtakufa navyo vijiba vya roho.
 
LOWASSA AMPONGEZA RAIS DK JAKAYA KIKWETE



Mhe.Edward Lowassa
Na Swahili TV


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania MheshimiwaEdward Lowassa, amemsifia RaisJakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshimakatika ulingo wa kimataifa, aliyasema hayo wakati akihojiwa na Swahili TV jijini Washington DC.
​

​
Alisema kitendo cha Rais wa Marekani Bwana Barack Obama kuja nchini na

viongozi mbalimbali wa mataifa makubwakumeonyesha Rais Kikweteanakubalika.


"Ni hivi karibunitu Rais Xi Jinping wa China, Rais Obama na Rais mstaafu wa Marekani George W.Bush walikuwa nchini Tanzania, hii inaonyesha kuwa Tanzania iko juu katika medani za kimataifa” alisema Mheshimiwa Lowassa.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mheshimiwa Lowassa ambaye yuko nchini Marekani kwa ziara ya kikazi, aliongeza kwa kusema, Rais Kikwete anastahili pongezi sana kwa hilo kwani sio rahisi kwa viongozi wa mataifa makubwa kutembelea nchi zingine labda kama mko juu sana katika medani za kimataifa.



Pia alisema Rais Kikwete amekuwa akihusishwa na utatuzi au ushauri wa kutatua matatizo mbalimbali ya nchi zingine na pia ameanza kuishirikisha Tanzania katika usimamizi wa amani katika nchi mbalimbali.

Tanzania iliweka historia hivi karibuni kwa maraisi wawili wa Marekani kukutana katika nchi moja kwa wakati mmoja, Rais Barack Obama na George W.Bush walikutana jijini Dar es Salaam mwezi huu.​

Shiiiiiiiit! F@ck mee!!! Kwani hao maraisi wamekuja kwasababu ya Zahifu ama wamejia Tz kama inchi iliyo balikiwa kuwa na abundant natural resources ofcoz na presence ya zahifu ita facilitate hizo multi billion stupid contracts!
 
Ni vyema sasa akamkumbusha kuhamia Dodoma ili angalau foleni ipungue jijini kwani Serikari ikihamia Dodoma Na Magari Yao yakahamia huko Kisha Bandari ya Tanga na Mtwara zikapanuliwa huku Bandari mpya Zikijengwa Bagamoyo na Lindi kisha Bandari ya Nchi kavu ikajengwa Dodoma Pia itasaidia jiji na Dodoma kukua kwa kasi huku foleni ikipungua Dsm
 
LOWASSA AMPONGEZA RAIS DK JAKAYA KIKWETE



Mhe.Edward Lowassa
Na Swahili TV


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania MheshimiwaEdward Lowassa, amemsifia RaisJakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshimakatika ulingo wa kimataifa, aliyasema hayo wakati akihojiwa na Swahili TV jijini Washington DC.
​

​
Alisema kitendo cha Rais wa Marekani Bwana Barack Obama kuja nchini na

viongozi mbalimbali wa mataifa makubwakumeonyesha Rais Kikweteanakubalika.


"Ni hivi karibunitu Rais Xi Jinping wa China, Rais Obama na Rais mstaafu wa Marekani George W.Bush walikuwa nchini Tanzania, hii inaonyesha kuwa Tanzania iko juu katika medani za kimataifa” alisema Mheshimiwa Lowassa.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mheshimiwa Lowassa ambaye yuko nchini Marekani kwa ziara ya kikazi, aliongeza kwa kusema, Rais Kikwete anastahili pongezi sana kwa hilo kwani sio rahisi kwa viongozi wa mataifa makubwa kutembelea nchi zingine labda kama mko juu sana katika medani za kimataifa.



Pia alisema Rais Kikwete amekuwa akihusishwa na utatuzi au ushauri wa kutatua matatizo mbalimbali ya nchi zingine na pia ameanza kuishirikisha Tanzania katika usimamizi wa amani katika nchi mbalimbali.

Tanzania iliweka historia hivi karibuni kwa maraisi wawili wa Marekani kukutana katika nchi moja kwa wakati mmoja, Rais Barack Obama na George W.Bush walikutana jijini Dar es Salaam mwezi huu.​

Huyu mbumbu sijui ana taaluma gani.Ni aibu kuwa na mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje asiyejua umuhimu wa kuwa na sera imara ya mambo ya nje badala yake anawekeza kwenye vipaji vya uzururaji vya Rais.Ni aibu sana halafu anatazamia kuwa mgombea urais.My foot!

Huyu ni chifu mangungo mwingine.Yupo desperate sana ndiyo maana yupo tayari kusema lolote.Mbona haongelei kuhusu usiri wa mikataba ili tuyapime mafanikio kutokana na tulicho-gain?

Watanzania tuachane na mijizi inayotafuta attention ili kuendele kupora jasho letu na raslimali tulizojaliwa na Mwenyezi Mungu
 
Pia DR. mangungo wa msovero alisifika kwa kuwaleta wajerumanikwa wingi maana alikuwa mdebwedo katika kusaini( kutia dole gumba mikataba feki) usishangile kutembelewa na marasi wakubwa,jiulize ni manufaa chanay au hasi, leo loliondo tunaiona kwambali tu kwa sababu ya ushabiki wa kipuuzi
 
Back
Top Bottom