Lowasa akubali yaishe.

Lowasa akubali yaishe.

Eloi eloi lama sabakitani ee Lowasa mbona unatuacha?
 
lowasa anapaswa kuelekeza wafuasi wake upande wa pili. alichofanyiwa na ccm hakikubaliki na mpenda haki yeyote...
 
Ina uzunisha lakini huo ndio moyo wa kiume(heart of man) wa lowasa... kifua cha Mzee sio kidogo tuacheni utani. Ameweka mengi chini ya sakafu ya moyo.. ukisema amekubali ya ishe nadhani utajuwa umeongea lugha nyepesi. Sema lowasa ni mwanaume mwenye moyo wa kiume... that's why I can let it go

Kuna kila sababu ya kubadilidha utaratibu wa kuwapata wagombea wa nafasi tofauti za uongozi wa kisiasa utakaopunguza maumivu kwa wagombea pindi wakizikosa nafasi hizo.
 
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.
Huo uongo wa kitoto sana..... huo ujumbe uliotumwa kwa njia ya Imeil, ulikwenda kwenye Imeil Address ipi?
 
akihama jamaa wanaweza kumfilisi mali zake zote kwani alizipata kwa mgongo wa chama chake.
 
mi mwenyewe nilitaka kusema kama wewe,, hawa jamaa ni wabaya sana akitishia usalama na uwepo wao wanaweza kumfilisi mpaka korodani zake kubabake
 
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.

Hata kama hiyo Email ipo nikatika kutengeneza mazingira ya ccm kutomuwinda lakini kwa Laigwanani.. Sio rahic tena.. Ile ya kujiuzuli Tosha
 
mi mwenyewe nilitaka kusema kama wewe,, hawa jamaa ni wabaya sana akitishia usalama na uwepo wao wanaweza kumfilisi mpaka korodani zake kubabake

Si unajua wale jamaa huwa hawachelewi, utasikia Ohoo Mara hivi mara vile na alivyo mgonjwa ndo kabisaa ..mtaenda kuokota mzoga
 
Hii habari itakuwa tango pori tu...
 
Mleta mada inaonekana ni CCM anasema email aliikuta humu jamvini.Inawezekana aisome yeye mtu mmoja tu humu jamvini bila wengine tusiione?.
 
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.

Teh teh CCM haikuwa na best option!!!

ingempitisha ingepasuka hasa wazee wengi wana chuki za juu na Lowassa hasa u kaskazini wake!!! nilimshangaa Nape alipolalama mbele ya CC ati babake katumika sana CCM ila kafa bila nyumba ha ha hivi hii ndiyo analysis ya kutumia kupima uwezo wa watu? Ktk CC Mkapa ni tajiri wa kutisha nikashangaa Nape kusema ya Lowassa kwa uchungu akimlinganisha na babake aliyeishi kwa kufurahisha wanawake uhai wote hata asikumbuke kujenga!!!

Hasara ya pili ni hii ya kumkata Lowassa tena kimizengwe!!! hapa atakufa nao....

Ninachoweza mshauri Lowassa aachane na CCM maana imedhihirisha chuki ilizonazo kwake na kanda anayotokea!!! kama mali zake ndo kigezo cha kuamsha chuki bila kusemwa uharamu wake ni bora awakache tuu....

Ndo sasa naamini CCM wako too obsessed na watu wa kaskazini kwasababu ya mafanikio yao...
 
si monduli tu kaskazini yote hamieni CHADEMA maana baba na wajomba zenu wote wako huko

Mpaka sasa Simiyu ndio inaongoza madiwani wa ccm kuhamia chadema, juzi tisa leo 14 jumla 23 wakati monduli ni 18. So ukabila wako peleka ccm ambako mlisema Rais hatoki kaskazini.
 
ccm hakuna ukabila that's why viongozi wakuu hawatok the same zone, unapanic nn au nawe USHAKATWA?
 
Mleta mada inaonekana ni CCM anasema email aliikuta humu jamvini.Inawezekana aisome yeye mtu mmoja tu humu jamvini bila wengine tusiione?.

hamna mkuu mim sio ccm na wala sikudanganyi ilikuwa humu kweli na natafuta niiweke hapa
 
Teh teh CCM haikuwa na best option!!!

ingempitisha ingepasuka hasa wazee wengi wana chuki za juu na Lowassa hasa u kaskazini wake!!! nilimshangaa Nape alipolalama mbele ya CC ati babake katumika sana CCM ila kafa bila nyumba ha ha hivi hii ndiyo analysis ya kutumia kupima uwezo wa watu? Ktk CC Mkapa ni tajiri wa kutisha nikashangaa Nape kusema ya Lowassa kwa uchungu akimlinganisha na babake aliyeishi kwa kufurahisha wanawake uhai wote hata asikumbuke kujenga!!!

Hasara ya pili ni hii ya kumkata Lowassa tena kimizengwe!!! hapa atakufa nao....

Ninachoweza mshauri Lowassa aachane na CCM maana imedhihirisha chuki ilizonazo kwake na kanda anayotokea!!! kama mali zake ndo kigezo cha kuamsha chuki bila kusemwa uharamu wake ni bora awakache tuu....

Ndo sasa naamini CCM wako too obsessed na watu wa kaskazini kwasababu ya mafanikio yao...

mkuu mi ningependa kama kuna watu wa karib na lowasa wapo hapa wanaoweza kuongea naye wamwambie asilitulie watu wake waende upinzani
 
Watu wameshaanza kwenda mkuu. Kuna kimbuga kinakuja. Hujaona? Mwaka huu CCM watazisoma namba
 
ha ha! Nmelipenda jina hilo Kiongozi

mim nilicheka sana nilipoona jina hilo na wew umeongeza mshangao wangu nikajihs kumbe siko peke yangu huyu bwana inaonekana kipenz cha marx
 
Back
Top Bottom