Lowasa akubali yaishe.

Lowasa akubali yaishe.

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.
 
Ni vizuri akisikiliza na kuzingatia ushauri wa mkewe...maana wote watapita ila mama Regy yupo nae kwa shida na raha!!
 
Ina uzunisha lakini huo ndio moyo wa kiume(heart of man) wa lowasa... kifua cha Mzee sio kidogo tuacheni utani. Ameweka mengi chini ya sakafu ya moyo.. ukisema amekubali ya ishe nadhani utajuwa umeongea lugha nyepesi. Sema lowasa ni mwanaume mwenye moyo wa kiume... that's why I can let it go
 
Kapima kina cha maji kwa busara na sasa nasubiri moja toka kwake ..nastaafu siasa!
 
Hahahahaaaaa!
Kweli Magamba joto ridi linasoma nyuzi joto jora alfu 79 kaeni hivyo-hivyo sindano ikatize kwenye hilo saburi sababu ukitijitingisha imekula kwako.
Tulizeni vijambio #UKAWA wafanye yao.
 
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.

Paste hyo mail yake hapa
 
Ina uzunisha lakini huo ndio moyo wa kiume(heart of man) wa lowasa... kifua cha Mzee sio kidogo tuacheni utani. Ameweka mengi chini ya sakafu ya moyo.. ukisema amekubali ya ishe nadhani utajuwa umeongea lugha nyepesi. Sema lowasa ni mwanaume mwenye moyo wa kiume... that's why I can let it go

kiukweli bwana huyu ana moyo mpana sana
 
kwa mujibu wa email yake akiwashukuru ndugu, jamaa, marafiki na washabiki zake alitoa neno moja muhim kwamba anasikitika ndoto yake ya URAIS IMEZIMWA. mana yake hana mpango mwingine wa kugombea nje ya ccm na ikumbukwe alisema hatoki ccm, wanawaza kwamba ataenda upinzani poleni, washabiki wake polen sana mzee amekuliana na matokeo. habar ndio hiyo.

Hiyo e maili alikutumia wewe??? tuwekee kama ushahidi hou unao… au mkuu ume "hack"???Na kama ume "hack" angalia usije kushtakiwa mkuu
 
weka hapa hiyo e-mail tushuhudie wote vinginevyo ni UZUSHI
 
Huu ndiyo muda muafaka wa yeye kuchukuwa maamuzi MAGUMU! Maneno yake yasiwe nadharia tu!
 
si monduli tu kaskazini yote hamieni CHADEMA maana baba na wajomba zenu wote wako huko
 
uongoooooooooooo.....100%

sio uongo mkuu nilisoma jana njoja niifukue nikipata nitapaste hapa jamvini mim nilichofanya ni kusoma kwa makini nikagundua jambo moja hilo kwamba kaamua yaishe
 
Back
Top Bottom