Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Mh. Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar leo

attachment.php
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.

attachment.php
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.
 
Inashangaza ataivyo mkewe Regina ni mkatoliki. Hapo anaganga tu

Kipi kinashangaza kuwepo kanisani?

Kama alioleowa na Mlutheri na kufunga ndoa yake Lutherani itakuwa ajabu gani kwenda kusali Lutherani?

Kama kutakuwa na cha kushangaza ni kama kwa miaka yote ya ndoa yao bado wanasali makanisa tofauti, hicho ndicho kitashangaza.
 
Mh. Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar leo

attachment.php
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.

attachment.php
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.

Huyo ni mtalii. Why Zanzibar?
 
Alafu naye mhuni tu. Angalia shati hapo kifuani kaacha kifua wazi ka wahuni wa bongo fleva mh Tanganyika tuna safari ndefu ati huyu naye aje awe rais makubwaa
 
Back
Top Bottom