[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nikawekwa kwenye kundi la wapinzani, habari ninayo, yess nilisema na sijakana na sitakana, hayo yalisemwa na wahusika wake alokutana nao hapo Masaki GYM.Yaani umebanwa piritoni ni kubwa
ππ!
@Chizi Maarifa unaitwa huku
Hapo si anakuongezea kwa kukufungulia uzi nawe unatamba humuπππππππ Bora nipambane na uwinga wangu kkoo kuliko kutoa utu wangu kwa pesa mbuzi km sate sauzandi, hapana kwa kweli.!!!
Wakachukue wenye ujasiri wao
Hata wao wanasema kama weweπ na bado wanakula 30kππππ Bora nipambane na uwinga wangu kkoo kuliko kutoa utu wangu kwa pesa mbuzi km sate sauzandi, hapana kwa kweli.!!!
Wakachukue wenye ujasiri wao
Baada ya kubanduliwa umeamua uje uhemee Huku@Chizi Maarifa unaitwa huku
Namaste namaste πSuit urself Madam, maana kwa kasi uliyonayo humu unadeserve kushiba View attachment 2893525
Ndio nimekuja kuhemea huku kwani unanidai ???? Nilikukopa???Baada ya kubanduliwa umeamua uje uhemee Huku
Una hamu ya kukulwa ww ila utaukalia soon from jf πHapo si anakuongezea kwa kukufungulia uzi nawe unatamba humuπππ
kanamsema vibaya msela hamna kituKumekuchaaaaah, kivumbiiii leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mbona hatupumzikiii? Hakuna HT?
Nani kasema nakudai au unajishtukia TU.Ndio nimekuja kuhemea huku kwani unanidai ???? Nilikukopa???
Udugu bado hujasema πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nikawekwa kwenye kundi la wapinzani, habari ninayo, yess nilisema na sijakana na sitakana, hayo yalisemwa na wahusika wake alokutana nao hapo Masaki GYM.
Mie ndo nilirudia tena kwa kuhoji,
nweiiiii nimepambaniaa sana huyo shouzzz, afu ktk vita vyake vyote mie ndo nilikua front, mumuulize akatae hapa yeye. Nilisema kwa upande wangu juu yake, mie sio mnafikiiii.
Nimepigania vita yake zaidi ya 3, nani atanitishia humu? Najua zaidi ya mnavyojua, unadhani nna cha kupotezaa bas? Nyie c mmekuja mwshoni kuunga trelaa, mtaniambia nn? Eti Leo oooh cocastic mnaaa, nilisema ukweli kwa jinsi nilivyojisikia, Unafiki sio shida zangu, heri niliyesema kwenye halaiki za watu mkapata cha kunena je ningesemea pembeni?
Hamnistuiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ya Mwanachuo ukipokea bila kunanii utajuta ubafunguliwa uzi hata mara 10 kwa masimango.Hata wao wanasema kama weweπ na bado wanakula 30k
Humu dawa ni kuwa bize na yanayokuhusu tu bila kujali kima gani tupo nawe na anasemaje kukuhusu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nikawekwa kwenye kundi la wapinzani, habari ninayo, yess nilisema na sijakana na sitakana, hayo yalisemwa na wahusika wake alokutana nao hapo Masaki GYM.
Mie ndo nilirudia tena kwa kuhoji,
nweiiiii nimepambaniaa sana huyo shouzzz, afu ktk vita vyake vyote mie ndo nilikua front, mumuulize akatae hapa yeye. Nilisema kwa upande wangu juu yake, mie sio mnafikiiii.
Nimepigania vita yake zaidi ya 3, nani atanitishia humu? Najua zaidi ya mnavyojua, unadhani nna cha kupotezaa bas? Nyie c mmekuja mwshoni kuunga trelaa, mtaniambia nn? Eti Leo oooh cocastic mnaaa, nilisema ukweli kwa jinsi nilivyojisikia, Unafiki sio shida zangu, heri niliyesema kwenye halaiki za watu mkapata cha kunena je ningesemea pembeni?
Hamnistuiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππYaani umebanwa piritoni ni kubwa
π€£π€£ Lamomy umepata jibu sasa. Acha unaa coca hana hizo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nikawekwa kwenye kundi la wapinzani, habari ninayo, yess nilisema na sijakana na sitakana, hayo yalisemwa na wahusika wake alokutana nao hapo Masaki GYM.
Mie ndo nilirudia tena kwa kuhoji,
nweiiiii nimepambaniaa sana huyo shouzzz, afu ktk vita vyake vyote mie ndo nilikua front, mumuulize akatae hapa yeye. Nilisema kwa upande wangu juu yake, mie sio mnafikiiii.
Nimepigania vita yake zaidi ya 3, nani atanitishia humu? Najua zaidi ya mnavyojua, unadhani nna cha kupotezaa bas? Nyie c mmekuja mwshoni kuunga trelaa, mtaniambia nn? Eti Leo oooh cocastic mnaaa, nilisema ukweli kwa jinsi nilivyojisikia, Unafiki sio shida zangu, heri niliyesema kwenye halaiki za watu mkapata cha kunena je ningesemea pembeni?
Hamnistuiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana shida kabisa kitengo hicho tena umwache aendelee kuenjoyyyyyyyyyy
Jamani msimuite atamalizia kukata shingo ya uzi π€£π€£π€£π€£@Chizi Maarifa unaitwa huku