Loving you Mahondaw

Mpumbavu tu na asie jiamini ndie anakimbilia matusi kama unavyofanya.
Bwana Rabbitus,
Umekuwa unaniattack sana, kila ukiona comment yangu kuna kitu kama kinakuwasha hivi. Nimekukwepa tangu ulivyoanza, leo nilivyoona quote yako nikasema sitanyamaza.

Stop it young man. BTW I'm not 52yrs though I'm well above 40 but not yet 45. Seems you need to know about me, I'm no Isaac Newton. Halafu ni kapuku tu sina lolote.

Ukitaka kujua mengine karibu pm, sijaifunga..huwezi jua ukawa mwanangu sana na michongo ukanipa.
 
Wapi Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy waletreeeeeee

Forever and alwaysssssssss💕💕💕💕💕💕
 
Hatutaki 😂😂😂😂
Endeleeni kuna kitu nilikuwa nataka kujua, mmekaribia kukisema bado kidogo……tuendelee refa nipo
 
Kumekuchaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I own PhD from Cuba. ✌️
Mambö yangu huishia public. Uliniudhi siku ile kunitukana. Kati ya wote waliokuwa kwenye ile list ni wewe tu ulinitukana japo nilichokisema ulikielewa. Case closed.
 
Jamaniii kidampa mwenye matashititi yake JF nshaingiaa, mbona kuna vita imeibukaa mpyaaa? Kwemaaaa?

Wambea wenza naomba ubuyu unifikie km ulivyo isisahaulike hata nukta wala mkato.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…