Mental illness. Wewe ujinga wako ulipohojiwa ukataka kuvunja ka tecno werevaa kako. Thread kaanzisha mwanaume anamsifia mwanamke wake unajifanya kuhoji. Ila yako unataka wakae kimya. Behave yourself old man.Mkuu,
Sie wazee wa kuhoji, tukikaa kimya havinogi. Some stories don't equate tusipohoji🤣
Uduguu nimekula nimeshiba ndii
Tena nimeshiba mara mbili
Yaani naona da maua amechachamaa
Mzee wa Raumu.Wala sijashadadia gono na uti, nimeuliza kama umepanda mti kabla ya mwingine kukatika au miti imepandana...
...wa kurelax na kunywa ya kutosha unadhani ni mimi kweli!! Anyway, furahia huba!!
Santo sana ! Hata mi Nimemshangaa sana na kujiuiza bila kupata majibu!Mental illness. Wewe ujinga wako ulipohojiwa ukataka kuvunja ka tecno werevaa kako. Thread kaanzisha mwanaume anamsifia mwanamke wake unajifanya kuhoji. Ila yako unataka wakae kimya. Behave yourself old man.
Nishasema tutoke humu tuwaachie watu wabebishane
You got it wrong young man, I'm 55yrs of age. Unataka BC yangu kuthibitisha? Seems whenever ukiona handwriting yangu unatoka mafichoni mzee babaKumbe na umbea unao daah. 52 years?? Very stupid.
Tulia kwanza kuna content mpya mdogo angu, usiharibu kwanza naifatilia kwa umakini 😂😂😂😂mke wa kantrii bado mnachart tu jamankwan wapinzani na da mau hawajamwaga nyogo tu uzi ufutwe ili uanzishwe mwinginesijapendraaaaa walah vile sijapendraaa
Huo umbea ulioandika hapo ndio umesababisha. Sijawahi kuwa mafichoniYou got it wrong young man, I'm 55yrs of age. Unataka BC yangu kuthibitisha? Seems whenever ukiona handwriting yangu unatoka mafichoni mzee baba
Chukua notes 🤣🤣Yaani naona da maua amechachamaa
You know very little about me, if at all unataka kuni attack kuja kwa namna nyingine. I don't own any vehicle, ukija mbezi every morning nipo nadandia mwendokasi, na 52yrs yangu utaona mvi zimenijaa kidevuni...Mzee wa Raumu.
Wewe uliharibiwa akili Russia.
🤣🤣🤣🤣 Mr milk shake in da hauzHuo umbea ulioandika hapo ndio umesababisha. Sijawahi kuwa mafichoni
Pole, utajua hujui.You know very little about me, if at all unataka kuni attack kuja kwa namna nyingine. I don't own any vehicle, ukija mbezi every morning nipo nadandia mwendokasi, na 52yrs yangu utaona mvi zimenijaa kidevuni...
Machoko mnazidi kuongezeka TUNiacheni na Smart911 wangu
Mr milk shake kaingia kwanza tunapumzisha matangazo ya babu na da mau 😂😂😂Nishasema tutoke humu tuwaachie watu wabebishane
Ukiona comments zangu unazitamani eenh, unaujua umbea? creating groups and all stuffs na mimi sina group hapa...Huo umbea ulioandika hapo ndio umesababisha. Sijawahi kuwa mafichoni
Lamomy kwa ugomvi 🙌😁😁😁🤠🤠😁😁😁Tulia kwanza kuna content mpya mdogo angu, usiharibu kwanza naifatilia kwa umakini 😂😂😂😂
Groups??????Ukiona comments zangu unazitamani eenh, unaujua umbea? creating groups and all stuffs na mimi sina group hapa...
Hizi I'd za 2023 Nina mashaka nazo sanaKatika haya mashindano
Mshindi ni Smart911
Dogo unatakiwa uile sana hiyo hadi ivimbe, siku ingine asikuletee za kuletwa.
Ukiimaliza kula endelea na makoloni yako, najua vimada hujawaacha
I repeat, you know nothing about me. Waliokupa info zangu waulize tena manake wewe ndio una groups za umbea hadi kuambiana the guy is so n' so...I, however don't have groups, don't chat outside the forum so....I see kila mara unapenda kuniattack, man I don't bang men, I do women so mind your moves on me.Pole, utajua hujui.