Loving you Mahondaw

Smart911 love Kweli weee mkareeeeeeee!
Wewe sio wa nchi hiii uko juuuu ni next level wengine watasubiri sanaa😁😁😁!

Hadi wanaume wenzio wanakujadili since morning umetishaaa babe 😘😘😘😘 πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
 
Tangu loni ANDUJE akashaurika?
Walisema wahenga
 
Tusubirie wale Sungusungu waliojificha waanzishe episode nyingine kali haha
 
Opinions are not fact mkuu upo sawa!
afu nishamwambia ataejilengesha azibue tu ndio uanaume huo! Mwanaume unakaaje kizombie zombie hata wanawake hawakugombanii ???🀠🀠🀠🀠!

Hahahah mwamba kumbe kashapewa ruksa ya kusuuza rungu atakavyo kama nawaona wale wachuchu wake wanavyokenua 😁 kwa hii go ahead, au umempa ruksa asuuze rungu kwa wengine wapya lakini sio wale kina nanilihuu....

Wee matoke yalikua yake wee ulidandia gari tu baada ya kusikia desemba nitakua Dar!

Matoke nitayafuata huko huko panapo majaliwa...
 
Ndiwooooo tena awakaze kisawasawa na alivojaaliwa plus mautundu sasa!!!

Jichanganye kama utanipata sasa nimekaa paleeπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰!
 
Mkuu,
Kwamba kweli watu wanajali sana na kuona the man is "man enough"! Nyie mmeamua kuichangamsha mmu tu na sisi tunaenda na flow, binafsi tu nahisi its staged, hakuna uhalisia coz jamaa kama kweli ni man enough hawezi kula na kupiga kelele. Mnatuchangamsha sana...
 

Sasa naona mkubwa mwenzangu umegraduate elimu ya chuo kikuu cha MMU...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…