Loving you Mahondaw

Weee tangu mwanzo unanikandia tu hasimu hebu nitetee namimi one time basi🤣🤣🤠🤠🤠( Kidding )

Basi sawa mwaego wee endelea kuniponda tu
Kimsingi hupaswi kulaumiwa kwani maamuzi yako ndio ya mwisho.

Sema sisi wanadamu huwa hatuzuiliki kuongea.

Lingine wewe ndio unakoleza moto na hizi cheche zinaweza kuleta mlipuko mkuuubwa.

Smart911 nimejifunza ni bonge la mjanja yeye anasoma na kulike tu
 
Sahihi, inaonyesha bidada ana mahaba ya kweli lkn mwamba amefeli kidogo
 
Bro i told you, soma comments tu mkubwa mwenzangu...

Nyuzi kama hizi huwa ni saka nyoka, watu wanamwaga mafuta ya taa kwenye mashimo, nyoka wanatoka pangoni wote...

Baada ya hapo kila nyoka anayeibuka toka shimoni anakutana na jambia la kichwa...
😂😂😂Ujue watu8sio vzr kunivunja Mbavu
🙌🙌
 
Hana kosa asee sasa kama mimi nafahamu watu watu 8 umepita na A ukapita na B ukapita na C D E F tena umepita nao waziwaziiii hakuna asiejua still namie najiweka hapohapo shida sio zako mbona !

Wanawake tunapenda kuiga kunya kwa tembo acha tuchanike msamba tu!

Kutamani anayopewa fulani kiruuuuuu!

Matoke yote alikula Smart911 asee
 
Dadeki Uzi umenoga
 
Weeee hebu rudiakomenti yangu ya kwanza yapili kujibu katika huu Uzi nimeongelea nani!

Jf mnapenda nyie ndio muongelee wengine mkiongelea mwingine ye atulieee asijibu ila yeye akiowajibu ameanzisha / kachochea ugomvi hahaaaa!

Wee huoni Uzi kaanzisha smart mashambulizi yanakuja kwangu/ Smart badala ya kufocus kwenye content ya uzi???

I love him too! tuacheni na ujinga wetu
 

Huwezi ona ana kosa kwa sababu wewe upo hoi bin taabani kwenye mahaba kuntu...

Ikitokea nakutana na Smart911 nitamchana ile kishikaji namna ya kuhandle hizi mambo kisela...

Kama alikuwa anagonga wale wachuchu wote (kwa mwanaume inaruhusiwa 😂)halafu hao wachuchu wakaja kukuletea zereu na mwamba hakuwamaindi, huoni hapo jamaa kazingua?

Hata hivyo kwa sasa kama mmeyamaliza it's well and good, lakini wahenga walisema mlamba asali halambi mara moja, mwishoni hujenga mzinga wa asali...

Halafu Smart911 mwamba ujue umekula matoke yangu halafu umekausha...
 
Opinions are not fact mkuu upo sawa!
afu nishamwambia ataejilengesha azibue tu ndio uanaume huo! Mwanaume unakaaje kizombie zombie hata wanawake hawakugombanii hawajileti hawajisogezi???🤠🤠🤠🤠!


Wee matoke yalikua yake wee ulidandia gari tu baada ya kusikia desemba nitakua Dar!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…