Loving you Mahondaw

😘😘😘😘😘😘
 
Mkuu,
Sie wazee wa kuhoji, tukikaa kimya havinogi. Some stories don't equate tusipohoji🀣

Hahah bro...

The bottomline ni kwamba kuna mwamba anawasugua wachuchu atakavyo, halafu wachuchu wanamgombania mwana kwa kupasiana...

Mchuchu mkubwa yeye ana guts za kuja JF kuanzisha timbwili la asha ngedere na timu yake ya mdundiko kwamba bwana sasa karudi zizini, vinyamkera wote warudi kuzimu...

Mark my words, siku si nyingi unaweza ukaibuka tena uzi hapa wa upande mwingine...
 
😳😳😳 Mahondaw kumbe hana mtoto??
We uduguu Mahondaw ya kweli haya??
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭🀭🀭!

Mnaniuaa mbavuuu hukuuuu Nikisema watu hawajui ukweli napingwaa sa si nicheke tu mimi!🀣🀭
 
Mahondaw furaha yako furaha yangu ccy.
 
Nimeshangaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe udugu kigori na husemi??
Kumbe bado binti? Sa mbona wanakuitaga shangazi jomooni 😜
 
Nimeshangaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe udugu kigori na husemi??
Kumbe bado binti? Sa mbona wanakuitaga shangazi jomooni 😜
Umri utakua umeenda na niponipo tu uduguuu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…