Loving you Mahondaw

Tutawataja hapa ambao walikubali kuliwa kwa kutaka Mahondaw aachike mara ya kwanza. Leo hii, mtoto wa watu amepambana hadi kimeeleweka, mnaanza kumponda. Mshindi kwa leo hapa JF ni aliyerudisha goli si kufunga goli. Bisha
Oyoooooo!! Tupe raha wataje best
🤣🤣🤣 wambea kaeni kwa kutulia kuna list inakuja, ukitajwa usinune kunywa maji ushushe presha..!!!

Dj lete vitu
 
Tutawataja hapa ambao walikubali kuliwa kwa kutaka Mahondaw aachike mara ya kwanza. Leo hii, mtoto wa watu amepambana hadi kimeeleweka, mnaanza kumponda. Mshindi kwa leo hapa JF ni aliyerudisha goli si kufunga goli. Bisha
Utaharibu hali ya hewa na kuvuruga uzi mkuu acha shetani apite mbali tu Nakuomba nakuomba tena please!🙏🙏
 
Inatokea kama huna pa kwenda unafanyaje [emoji23][emoji23]
 
Wanawake wasio na akili hawwezi kuwaza hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…