BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,976
- 20,018
Hivi wizo kwanini mnanifanyia hivi lakini eeeeeehh? si nawaulizaNa wewe kuwa malayer wizo 🤣🤣🤣
Hivi wizo kwanini mnanifanyia hivi lakini eeeeeehh? si nawaulizaNa wewe kuwa malayer wizo 🤣🤣🤣
Mnatoa wapi haya maneno?🤣apeche alolo 😂😂😂
That's genious babu !Hopefully mpaka kuandika Uzi hivi, ina maana ni taarifa rasmi kwamba wao ni Mr and Mrs
Kwahiyo kama kulikuwa na mahusiano mengine hapo katikati inamaana yatakuwa yamekufa automatic
Mi sijui nifanyeje.?? Tatizo nna huruma sana.!!🤣🤣🤣🤣
Utajua hujui🤣Mnatoa wapi haya maneno?🤣
😂😂😂Nimecheka sana kwahiyo mm wangu wataniibia au nae apeche aloloWifi zangu kina manka wanaangalia pochi buanaaa.!!! 🤣🤣🤣
For real hata mimi unanichanganya.Wataniiba vipi na hawanijui,wewe wanakujua huko,tena vizuri tu.
Sio utani(inabidi unieleze hili jambo,kwanini napata maswali yako private?una agenda gani na hawa watu?)
Nitakutafuna hayo macho,na vile siwezi kufaidisha watu tu hapa kwa malalamiko.
Wizo tulia, utajifungua kabla ya muda 🤣🤣🤣Hivi wizo kwanini mnanifanyia hivi lakini eeeeeehh? si nawauliza
🤣🤣🤣Mungu akusaidieMi sijui nifanyeje.?? Tatizo nna huruma sana.!!
Nikiona yule kapooza bas naamua kumfariji 😂😂😂
Hakuna mkinga apeche alolo tulia..!! 😂😂😂😂😂😂Nimecheka sana kwahiyo mm wangu wataniibia au nae apeche alolo
Watu wananiharibia huko pm kwake ndio maaana anataka kuniacha😂😂😂. Sijui ni wakina nani hao😷Wifi kaka hakuna wa kumbeba pesa hana..!!
Huyu wa kwako peke yako, nani amtake bwana apeche alolo 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣!Yani liuzi la kimalaya linapata comments nyingi hivii wakati uzi wangu wa maswala ya biblia una comments tatu.
Hili nalo mkalitizama.
Kaka upo?? Na wifi mshamaliza migogoro yenu?? 🤣🤣🤣Mnatoa wapi haya maneno?🤣
Haina shida,nayahifadhi ila siku nikifahamu namna ya kuyatumia nawarudishia na msiseme nimewatukana hata kama nikiyaweka sehemu siyo.Utajua hujui🤣
Kwaiyo nijipange Kwa vita nianze kutafuta Mganga mapemaHakuna mkinga apeche alolo tulia..!! 😂😂😂
sasa vyote hivyo unavipataje wakati unasambaza mahaba kwa umpendae au ulishapindua mezaUmenifanya nikague ID's pamoja nakujiangalia kwenye kioo,kumbe mimi bado kijana kabisa kabisa,mwenye nguvu za kumwaga.
Kwahiyo,ulivyosema nichangamke hapa JF nawe unataka kuona ndugu yako nikipata stroke?,kukonda,pressure na wenda wazimu?
Wakupe na kinywaji upendachoNendeni mkale nyie,🤣🤣
Jmn mi ndo nakula zangu sembe na maini hapa
Wanataka kujiweka, si unajua mwaka wa kufosi huu 😂😂😂Watu wananiharibia huko pm kwake ndio maaana anataka kuniacha😂😂😂. Sijui ni wakina nani hao😷