Loving you Mahondaw

Sema hili penzi halitakufa Tena I'm sure .

Nimeamini sisi wanaume sio kila mwanamke tunayemkojolea tunampenda wengine ni chombo Cha starehe TU Cha kupita .

Wale machangu weusi , flat screen sijui wataficha wapi sura zao 🤣🤣🤣.

mummy usisahau kupita Huku kumwish auntie penzi jema 🤗🤗
 
Hii positivity 👏🏽👏🏽

Bado mimi dada yako nikutambulishe kwa the love of my life, kaka mzuri…
Sijui itakuwaje?
Tuombe kheri.
 
Mwaya Mahondaw I’m happy for you darling.
Against all odds bado mko pamoja, nawapongeza sana.

Napenda kuona watu wakipendana, kwa ulimwengu huu ambao mapenzi ya ukweli yamebaki kama hadithi ni faraja kuona watu bado wana true love.
Nawapenda ❤️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…