Yaan shouuzzz angu hajanipa hata desa nikapige kwa mjep, points anajizolea pekee yakeee kweliii? Ushouzzz gani huu sasa.Udugu kwan wale bibi wengine wadogo wako wapi?? Mbona udugu anatamba sana kwan alipigaje??
😂😂😂😂 Subiri atulie atatoa formulaYaan shouuzzz angu hajanipa hata desa nikapige kwa mjep, points anajizolea pekee yakeee kweliii? Ushouzzz gani huu sasa.
Ataibukia kwa mdada wa Ofisini na GYM, maana nae kapoaa mnoo siku hiziii,Smart hana baya, sema wanawake zake ndo wana hekaheka za vuta nivute..!!
Yy kakaa pembeni anaangalia minyukano
Sijui akitoka nyumba kubwa ataibukia wapi??
Nakutania🤣🤣🤣Kweli Maua Hadi Mimi dada yako unaniweka kundi la umbea?
Nimeamka 🤣🤣mama mtumishiii upoooo??
Sinywagi pombe mwaya nimenyimwaDa mau pombe uzokunywa zinatosha utazima sasa 😂😂
🤣🤣🤣 Atalipua bomu usije kumponza kaka angu hajui kukimbiaUdugu huyu Msomali niliye nae atanitoa roho akijua na msaliti 😁😁😁
OhooooAtaibukia kwa mdada wa Ofisini na GYM, maana nae kapoaa mnoo siku hiziii,
Yupi huyo 😂😂😂Ataibukia kwa mdada wa Ofisini na GYM, maana nae kapoaa mnoo siku hiziii,
Kumekuchaaaaa🤣Hapa kumesha kuchaa sahiviii
Ohoooo
Ubuyu wa Babu isa wa zenji
🤣🤣🤣Yaan leo JF iko winja winja,
Modes sijui km watalala leo, kazi wanayooooo.
Na alivyo na hasira za karibu nimeamua nikitulize 😁🤣🤣🤣 Atalipua bomu usije kumponza kaka angu hajui kukimbia
Yupi huyo
Hebu mtaje kabla wazee wa nongwa hawajaja
Weee ndo unajua leo??!!! Namjua Smart na mambo yake yoooooteee yanii yooooote hata usiyoyajuaa mimi nayajuaa!Sasa nimepata nguvu ya kukupa ushauri bibie nimechafukwa Mahondaw kitu cha wengi hakiliki nasii riziki . Teksi ni gari ila sio pekee yako unaipanda , kufungua box tupu sio heri, heri nikufungua zawadi yako pekee yako.
Nimekusanya point humu humu kwa wajibu post